Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaaa mama naye ni changamoto [emoji1787][emoji1787]
Usibadili bhana wacha hilo hilo labda ubadili herufi tu lisomeke Shimba ya Buyenze [emoji16][emoji16]
 
Mommah hakika wee ni akili kubwa na uko sawa, labda nikuambie ukweli haya yote unayowaambia wanayajua na yanawaingia vilivyo, ila unafiki wao unawasumbua hapa na hawana Pa kushika.


Kwa maelezo yako haya km hatakuelewa wee muache aongee akichoka ataacha mwenyewe, yaan anajiona yeye n much know sana huyu mtu. Au hamjawahi kuona ktk nyuzi zingine masifa yake? Yaan anaona wenzie wote n makururu ila yeye ndo mjuaji, anakera sana yaan. Mie nimeshachoka kuona essay zake zisizo hata na maana.

Anaboa mnoo aaaah.
 
ni wa kiume anayeipenda jinsia ya kike....kaamua awe Gay na yupo proud na hilo....soma comment zote uone anavyonyukana na watu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msemaji wangu bhana, vipi Hujambo nini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Oohh nililisahau hilo Don juan, ila hilo Alibakari ndiyo silijui kabisa.

Mwee fox hound tena, naona umetoka kwenye ubeberu mwitu unataka sasa uhamie kwenye umbwa mwitu inaonekana unapenda sana umwitu mwitu mkuu.
Mdada japokuwa nacheka hapa JF lakini nakuogopa ujue[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…