Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Saa Saba na dakika hamsini na tatu usiku

Night shift

IMG_20211208_014956.jpg
 
Nafunga ukurasa wa mambo yasiyotakiwa humu, kuanzia muda huu hadi siku ya mwisho ya uhai wangu, nitakuwa mkimya ndani ya huu uzi hata nichokozwe vipi,
Samahan kwa waliokwazika sisi ni binadamu sote tuna mapungufu, kwahiyo tuvumiliane.

Uzi wa selfika huu, na tuselfike zaidi.

Utatukosha zaidi ukitupia selfika yako.
 
Haha mlikua wapi na huyo msukuma SHIMBA YA BUYENZE jamani hapakua poa hapa nikaisevu tu itulie. Hapa kulijaa Vijana na mada yao ile

hahahaha... umeamkaje rafiki tupia kabla hawajaa vijana wa kisasa
 
Back
Top Bottom