donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Sikupingi mkuuWatoto wa mbwa hua tunajichanganyaga tu mkuu.
Sikupingi mkuuWatoto wa mbwa hua tunajichanganyaga tu mkuu.
Unajifanya wee kipofu hujaona mtu aliye screenshot comment zangu tena hata kutoka ktk nyuzi zingine? Au unafiki unakusumbua?Umeyaleta tena haya mambo yako? Siku ile uzi uliwaka moto. Leo naona busara imetawala watu wamekausha. Mungu na Atusaidie sote na hasa wenye watoto wadogo wa kiume. Ombeni sana bila kukoma ili kikombe hiki kiwapite [emoji24][emoji24][emoji1545][emoji1545]
Ngoja nitafute mtaalamu wa IT anitolee likofia hiloChat n picha
View attachment 2036101
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja kwanza nifurahie Ph.D yangu kidogo mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2036031View attachment 2036033
Wakisema walevi wauwawe[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Haaa watadiscuss wao wenyewe!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana, hadi mbavu zinauma, ko hayo yote unayajua? Tena navalia na kijora changu pambeeee naenda kusasambua had nyonga zijute kukaa kiunoni kwangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena nenda ukatambe na kujishaua upendavyo huku ukirusha mikono huku na huko; na kurembua tani yako huku tyuuh na jomoni za kutosha zikikutoka [emoji16]
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Tena ikibidi uhamishie mapambano na harakati zako huko mazima. Huku tuache bana tuendelee tu kuselfika kwa amani kwa sababu haya mambo yako hayakawii kuchafua hali ya hewa hapa....[emoji16]
Kila la heri mkuu!
Video yake hii hapaNacheka ila sio mazuri [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2036111
Utaridhika na jibu nitakalokupa, nisije nkakujibu ukaanza kukemea pepo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh kwani Wewe ni shoga mbona unaipenda hii mada samahani kwa kukoment
Mjukuu kausha basi.. Huku ni furaha tuu.. Tutupie picha zetu za selfika n the like.. Mengine hayo na mengineyo tuyapeleke hukoo na kuleeeUnajifanya wee kipofu hujaona mtu aliye screenshot comment zangu tena hata kutoka ktk nyuzi zingine? Au unafiki unakusumbua?
Mie sio chizi, nna akili zangu timamu na niko vizuri ktk fahamu ya ubongo wangu,
Hebu npumzishe kwan, km heka heka na matashititi hapa ndo pake, mtachoka nyie, mkinichikoza tyuuh napita mule mule na silazii damu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee huwa sipendagi hata kukujibu, afu una force sana nkujibu, vipi hujambo nini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na uende mazima usirudi huku tena
Takuchapa sasa..loh.. Hiki kibri kina jini maimuna ndani yake..hebu nenda kule kidogo, huku watu hawataki stress mjukuu wangu mpendwa.. Haya nenda sasa usijibizane na wakubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana, hadi mbavu zinauma, ko hayo yote unayajua? Tena navalia na kijora changu pambeeee naenda kusasambua had nyonga zijute kukaa kiunoni kwangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu mie sio mgomvi wala mkorofi, km kweli wee unaona sawia, afu sipendi kuzungumzia hilo suala mahali pasipohusika, tatizo ni hao straight bubu wakiona Id yangu wanahemkwa, sasa wakinichokoza sinaga moyo wa uvimilivu mie, nalianzisha na mie muda huo huo.
Huu uzi sitoki kamweee, na km unategemea nitatoka basi utasubiri sana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Km huwa mnanipanikisha ili nitoke thubutuuuh mjipange physiological, maana ndo kwanza mabegi nimeyatua hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu relaaaaaax wee mzeee, unajua unatakiwa usijihusishe na stress na mawazo yasiyo ya lazima. Furahia huo uzee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kujiziba sana huko kwioo? [emoji23][emoji23][emoji23]Chat n picha
View attachment 2036101