Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,685
- 51,005
Hahahaha huzeeki kisa kiepe hahahaa ungesema matunda sawa my diahapo nizeeke kweli, maisha ni tambarareView attachment 2034839
Hahahaha huzeeki kisa kiepe hahahaa ungesema matunda sawa my diahapo nizeeke kweli, maisha ni tambarareView attachment 2034839
hahahaha..best 'usikasirike banaNimekununia mimii umekataa kutuma!![]()
Mmmmmmmh
Hajui wengine hapa ndio kazini penyeweUnafikiri wote wanaoshinda humu wakitaniana na kucheka hawana mambo ya muhimu ya kufanya?![]()
Hivi kumbe Ely79 ndo huyu mkuu ERoni ?Hivi Ely 79 sasa hivi una 41 eeh?
Miaka inakimbia.
Dada yangu wa 80 jana amefikisha 40.
Mweeh ni Mtumishi kiutani tu
Mkuu, huyu Saint Anne anazingua sana yani. Amefanya kila mtu kajua, natamani nmkamate achezee bakora za kwenda

Hahaha....Mkuu, huyu Saint Anne anazingua sana yani. Amefanya kila mtu kajua, natamani nmkamate achezee bakora za kwenda![]()
Hahaaa mimi siyo wife material kabisa mkuuYaani ukawa unajiuliza huyu kweli ni mjeda au kamba tue
Unaicheki tena na zile swaga zake mbona havifanani?
Ha ha haaa jibu lipo pale kuna mda ni mke haswaaa




hahahaha..Rafiki subiri ile mida yetu ileeeeeJamani Jamani msitufanyie hivo jamani!! Hizo sura binafsi nazikubali sana tupieni tasavali!! mtu chake nasubiria
Duh!!
mtu chakehahahaha..Rafiki subiri ile mida yetu ileeeee
Mkuu kila mtu kwa nafasi yake humu ila kwa umri wa wastaafu wapo free zaidi maana yale majukumu muhimu yanamuachia iwe kafanikiwa au la.Hajui wengine hapa ndio kazini penyewe
mkuu sema
Umenizidi miaka 17We endelea kutuchangamsha sisi wazee...55yo umri wa kustaafu kwa hiari.