Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
🙄🙄🙄🙄🙄Siku hizi ushaacha kunipigia[emoji16].
Ngoja nikupigie unipe nipe yape maneno yako.
🙄🙄🙄🙄🙄Siku hizi ushaacha kunipigia[emoji16].
Ngoja nikupigie unipe nipe yape maneno yako.
Mimi nakuwa tu nimedhamiria kutokutandika,siyo kwamba eti bahati mbaya nilisinzia.[emoji23][emoji23][emoji23] mimi uwa nalala tu kuna siku unaweza kuta unastuka umesinzia sitting room kufika chumbani ujatandika unajirushia tu.
Mbona unashangaa??[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Comment yako imenichekesha[emoji1787]Wacha weee
Hongera mimi kwa week naweza tandika mala moja na mala nyingi uwa j3Mimi nakuwa tu nimedhamiria kutokutandika,siyo kwamba eti bahati mbaya nilisinzia.
Ngoja leo nikakarabati kitanda changu.
Hivi ile keki ulinunua au bado?Hongera mimi kwa week naweza tandika mala moja na mala nyingi uwa j3
[emoji23][emoji23][emoji23] ipo home nimenunua jana after church afu nikatoka nimerudi usiku mbovuHivi ile keki ulinunua au bado?
Kama bado nitumie hela nikusaidie kununua[emoji38]
Haaa![emoji23][emoji23][emoji23] ipo home nimenunua jana after church afu nikatoka nimerudi usiku mbovu
Hahaaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Merci bou coup!! haha nishasahau french!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyooooh sasa nn?[emoji23][emoji23][emoji23] akhuuu sio tabia mbaya
Huchafui bed cover? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] napenda kulala kitanda kilichotandikwa lakini mvivu wa kutandika adi mwisho
[emoji23][emoji23] nishasahau yani umenikumbusha ulivoniambia sijui ndo uzee au jua la darHaaa!
Umenunua na hausemi[emoji38]
[emoji23][emoji23].....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyooooh sasa nn?
Sichafui na uwa linachafuka sana kama mpo wawili kwenye shuuli afu amjatandika shuka apo ndo mijasho yote inaishia apoHuchafui bed cover? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
U gar it, if u don gar foger abar it..
Mbona rahisi tu mimi wala siyo expertMimi zinanikera pia.
Nifundishe basi pa kutolea wewe expert wa Samsung.
Sure [emoji846][emoji846][emoji846][emoji846]hahahaha....JF hatari sana ..inahitaji 'utulivu'
Comment yako imenichekesha[emoji1787]
Halafu nkamu nasubiri picha hadi leo.