Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Enzi zile watoto wakikuta hiyo Blood Sport (1988) imewekwa na kuna pia Commando (1985) pembeni basi hata kula wanasahau; na TV bado hazijaenea kivile. Miaka imekimbia sana aisee. Imagine madogo waliozaliwa 1985 wanatuita baba sasa hivi nao eti watu wazima na familia zao [emoji15]
Mzee tushazeeka yani, life is so fast yani. Sio poa!
 
Uwongo hatakama ni wa utani ni zambi.
anakuaje mtumishi?
Uwongo kwenye utani? [emoji15][emoji15][emoji15]

Dhambi kwenye utani? [emoji15][emoji15][emoji15]

Kisa mtu kaitwa mtumishi? [emoji15][emoji15][emoji15]

Mtumishi kwako ina maana gani mpaka iwe dhambi? [emoji15][emoji15][emoji15]
 
Back
Top Bottom