Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Aisee Mungu akufanyie wepesi upate mingi zaidi daaah.

Wewe unahaki zaidi kushinda humu mana ushamaliza ya muhimu
Ya muhimu ndiyo yapi?

Ni nani anayeamua hayo ya muhimu kama siyo mtu mwenyewe?

Unafikiri wote wanaoshinda humu wakitaniana na kucheka hawana mambo ya muhimu ya kufanya? [emoji15]
 
Ya muhimu ndiyo yapi?

Ni nani anayeamua hayo ya muhimu kama siyo mtu mwenyewe?

Unafikiri wote wanaoshinda humu wakitaniana na kucheka hawana mambo ya muhimu ya kufanya? [emoji15]
Unafikiri wote wanaoshinda humu wakitaniana na kucheka hawana mambo ya muhimu ya kufanya? [emoji15][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Hatari sanaaa, mie nilikuwa naichunguza kwanza, niliona siku nyingi nika download kwa ajiri ya kuirudi rudia kwanza kabla ya comment
Yaani ukawa unajiuliza huyu kweli ni mjeda au kamba tue

Unaicheki tena na zile swaga zake mbona havifanani?

Ha ha haaa jibu lipo pale kuna mda ni mke haswaaa
 
Back
Top Bottom