Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
Ni kweli kabisa mkuu, hapa tunapiga story tu masaa yaendeMkuu kila mtu kwa nafasi yake humu ila kwa umri wa wastaafu wapo free zaidi maana yale majukumu muhimu yanamuachia iwe kafanikiwa au la.





