Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Enzi zetu....wengi wenu hapa bado hamjazaliwa...
List%20ya%20zamani%202.jpg
 
Enzi zile watoto wakikuta hiyo Blood Sport (1988) imewekwa na kuna pia Commando (1985) pembeni basi hata kula wanasahau; na TV bado hazijaenea kivile. Miaka imekimbia sana aisee. Imagine madogo waliozaliwa 1985 wanatuita baba sasa hivi nao eti watu wazima na familia zao
Tulikua tunaangalia kwenye kumbi maalumu za Video Hahaa! Inaenda Kasi mnoooo nakuzeeka tunazeeka aseeh!
 
Enzi zile watoto wakikuta hiyo Blood Sport (1988) imewekwa na kuna pia Commando (1985) pembeni basi hata kula wanasahau; na TV bado hazijaenea kivile. Miaka imekimbia sana aisee. Imagine madogo waliozaliwa 1985 wanatuita baba sasa hivi nao eti watu wazima na familia zao
Hawa watoto wa sasa hivi inabidi tukae nao kitako kuwaeleza dunia ilivyokua asee
 
Mashuka
Mashuka meupe,chai ya laki,paved block Kwa house huko nje,bustani nzuri,maisha yanataka nn tena ndugu yangu.. hongera Sana mkuu

Mimi Nimeamka na ndoo za maji chumbani kwangu😅..chumba km stoo
 
Back
Top Bottom