Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,881
- 147,387
Hii na ya marioo inatosha,kuna kipindi niliimbisha home hadi wakanishtukia nimepatwa na nini[emoji28]Halafu sijui wanawake wote ndivyo mlivyo.
Hivi kwa nini mnapenda kutuma ujumbe kupitia nyimbo?
Kama mmegombana usiku sasa utajuta hizo message unazopata, zinapigwa nyimbo flani unaona kabisa huu ujimbe wangu[emoji1787]
We ni mmoja wapo.
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app