cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,321
- 187,999
Weuweee
Weuweee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii na ya marioo inatosha,kuna kipindi niliimbisha home hadi wakanishtukia nimepatwa na nini[emoji28]View attachment 2034375
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Afu nlidhan ni peke angu, [emoji23][emoji23][emoji23]Harufu yake ndio sipendezwi nayo.
EwaaaahHaha..kichwani kuna elimu!
Wee dea ndo unaniletea tende? [emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 2034569
Makongo Road
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] saiv wazee lolMiamba miwiliView attachment 2034572
Nenda ukalime shape yote inaishia shamban [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuuh huu mwaka, wazaz wangu wote wawili wako 4m 3.Enzi zetu....wengi wenu hapa bado hamjazaliwa...
View attachment 2034596
Maexpert wa kulala bila kutandika ndio tunaojua[emoji16],hauwezi ukajua kama hujapita stage ya kulala bila kutandika godoro.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee kumbe? Mbna hata sikujua yaan
Nilikuwa nishazaliwaEnzi zetu....wengi wenu hapa bado hamjazaliwa...
View attachment 2034596
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hata sikujua chchte mie, ndo umenifungua akili sasa.Maexpert wa kulala bila kutandika ndio tunaojua[emoji16],hawezi ukajua kama hujapita stage ya kulala bila kutandika godoro.
Hcho kitanda hakijatandikwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una tabia mbaya wee lolAmekusanua [emoji23][emoji23]
Katika ubora wako[emoji122]Neno la Mungu ni lina Uhai, Nuru, Nguvu na ni funguo ambao unaweza fungua kila kitu unacho kijua hapa duniani with right revelation pia nafsi yako na roho yako kila inavyopokea ufunuo wa mpya wa Neno vinazidi kung'aa.. That why Yesu kuna mahala anasema..
Mathayo 5:14
Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji hauwezi kusitirika ukiwa juu ya mlima.
Mathayo 5:15
Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya pishi, bali juu ya kiango; nayo yawaangaza wote waliomo nyumbani.
Mathayo 5:16
Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.
Mkuu wangu SHIMBA YA BUYENZE tupi pamoja.. Sie ni nuru ya ulimwengu na nuru itazidi kuangaza kadri neno la Mungu linavyo ingia kwa wingi ndani yetu na kwa mafunuo sahihi..
Pamoja sana mkuu wangu, mie Kijana wa hovyo hovyo
[emoji23][emoji23][emoji23] napenda kulala kitanda kilichotandikwa lakini mvivu wa kutandika adi mwishoMaexpert wa kulala bila kutandika ndio tunaojua[emoji16],hauwezi ukajua kama hujapita stage ya kulala bila kutandika godoro.
Hcho kitanda hakijatandikwa.
[emoji23][emoji23][emoji23] akhuuu sio tabia mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una tabia mbaya wee lol
Mimi kuna muda nikivurugwa huwa nalala tu hivyohivyo bila kutandika.[emoji23][emoji23][emoji23] napenda kulala kitanda kilichotandikwa lakini mvivu wa kutandika adi mwisho
We itakuwa huwa unatandika kila siku.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hata sikujua chchte mie, ndo umenifungua akili sasa.
Uwe unanipigia na tunapigiana nikupe chakula kisicho goshiwa 😁😁😁Katika ubora wako[emoji122]
Siku hizi ushaacha kunipigia[emoji16].Uwe unanipigia na tunapigiana nikupe chakula kisicho goshiwa [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23] mimi uwa nalala tu kuna siku unaweza kuta unastuka umesinzia sitting room kufika chumbani ujatandika unajirushia tu.Mimi kuna muda nikivurugwa huwa nalala tu hivyohivyo bila kutandika.
Ila najua kutandika sana kitanda,,basi tu kuna muda nakuwa nimechoka sana.