Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,896
- 147,499
Yaani nimewaza tu kwa sauti[emoji23]Usinisahau[emoji115]
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Yaani nimewaza tu kwa sauti[emoji23]Usinisahau[emoji115]
simu yangu ina nyimbo 3 nikikutajia utacheka.Wewe unataka ya kesho ya mondi??
Hapa nasikiliza belle 9 sumu ya penzi[emoji8]
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nitajie nikuchekasimu yangu ina nyimbo 3 nikikutajia utacheka.
Zimefika.
Kuna ile nabikoowa ya Juliana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nitajie nikucheka
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787]jamani,nina ma file ya music hadi mungine siyatumii[emoji3]Kuna ile nabikoowa ya Juliana.
Kuna ile ya kuku, ya radio na weasel
Eddy Kenzo na Harmonize, nipo outdated sana.
Umenipa wazo kesho na mie nile biriani
Yaani sikufichi,chakula naweza kupika kikatulia ni pilau nalipatia hatari,viungo tu vikitimia[emoji39]Umenipa wazo kesho na mie nile biriani
Pilau ile taaam unajua kuipika?
Kuna watu wanapenda sana kusikiliza muziki, we ni mmoja wao.[emoji1787][emoji1787]jamani,nina ma file ya music hadi mungine siyatumii[emoji3]
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Sana,napenda kusikiliza muziki unanisafirisha kimawazoKuna watu wanapenda sana kusikiliza muziki, we ni mmoja wao.
Pilau naikubali sanaYaani sikufichi,chakula naweza kupika kikatulia ni pilau nalipatia hatari,viungo tu vikitimia[emoji39]
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Inabidi nije nimfundishe[emoji3]napenda pilau sana,Pilau naikubali sana
Manzi yangu kupika ile pilau hajui, sijui anafeli wapi
We itabidi uje umfundishe
Halafu sijui wanawake wote ndivyo mlivyo.Sana,napenda kusikiliza muziki unanisafirisha kimawazo
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
AiseeInabidi nije nimfundishe[emoji3]napenda pilau sana,
Napenda liwe na hiriki ya kutosha,binzari nyembamba,pilipili manga kiasi linachangamka na vuazi vya kutosha,maana napenda viazi vya kwenye pilau[emoji8]
Kachumbari matata yenye ka pili pili Lakini siyo ya kabichi[emoji1787]
Hasa likipikwa kwa jiko LA makaa[emoji8]
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
[emoji3]mie ni mmojawapo[emoji3]nasikiliza nyimbo kutokana na wakati niliopo[emoji8]Halafu sijui wanawake wote ndivyo mlivyo.
Hivi kwa nini mnapenda kutuma ujumbe kupitia nyimbo?
Kama mmegombana usiku sasa utajuta hizo message unazopata, zinapigwa nyimbo flani unaona kabisa huu ujimbe wangu[emoji1787]
We ni mmoja wapo.
Msitufanyie hivyo.[emoji3]mie ni mmojawapo[emoji3]nasikiliza nyimbo kutokana na wakati niliopo[emoji8]
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app