Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,208
- 29,338
Ulimpenda? 😅Umefanana na mkaka mmoja jumatatu alikuja ofisin na quotation yake nikajikuta nimetoa discount mpaka sasa hivi sielewi what happened
Ulimpenda? 😅Umefanana na mkaka mmoja jumatatu alikuja ofisin na quotation yake nikajikuta nimetoa discount mpaka sasa hivi sielewi what happened
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]My Ex karibu! Saint Anne View attachment 2032744
Cha Jack Daniels[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kidogo cha kufutia simu[emoji28]
Yes[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Humo kwenye glass kuna limao tu na maji??
Safi kabisa..Ila hapo kwenye kuvutia mtu,Mimi nimesema ukifanya mazoezi unavutia,sijasema unavutia mtu😅Kweli eeh😊😊.. Upo vizuri mkuu, mie sina shida ya kuvutia mtu mkuu labda hilo la physical maana mental kuna vyakula ukiwa unakula unakuwa powa sanaa
Ndani ya dera
Naomba
Unavutia nini sasa 😂😂😂Safi kabisa..Ila hapo kwenye kuvutia mtu,Mimi nimesema ukifanya mazoezi unavutia,sijasema unavutia mtu😅
Sawa my x[emoji3]Naomba
Upake na chumvi
Mambo yangu haya, ni mwendo wa vitu vitamu vitamu[emoji38][emoji38]
Kama kuna pombe jeSawa my x[emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nilisafiri ndugu yangu nimerudi leo njoo tukanunue sasaHivi si ulinunua keki nyingine eeh[emoji38]
Itakuchangamsha kidogoKama kuna pombe je
Eti eeh??Itakuchangamsha kidogo
Kumbe![emoji1787][emoji1787][emoji1787] nilisafiri ndugu yangu nimerudi leo njoo tukanunue sasa
Mimi sinunui adi nikuone usije nisusia kama juziKumbe!
Nunua basi kesho tule
Unashabikia team gani ?Kumekucha
Eli79 ERoni ona timu la kibabe liverpool[emoji16]View attachment 2032798View attachment 2032799