Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni kweli mkuu, tuache kuhukumu wengine ilihali hakuna hata mmoja wetu anayeweza kukusimama mbele za Mungu na kusema yeye hana dhambi! Hata Yesu alisema "yeyote ambaye anajiona hana dhambi basi na awe wa kwanza kurusha jiwe kwa huyu mtu", cha ajabu wote wakatulia!

Imeisha mkuu wangu nimekuelewa. Kwa heshima yako na wengine wote ambao wanapenda amani na walikwazika na mabishano yetu na kunisihi niache naombeni mnisamehe, na naomba sasa rasmi nifunge huu mjadala, sitamjibu tena yeyote atakayeniquote kuhusiana na hii mada amani itawale.

 
Open a new Chapter guys! New day

20211204_084126.jpg
 
Back
Top Bottom