Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
We niruhusu nije PM tu tumalizane huko [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Msukuma naomba leo uselfike nikuone rafiki!!
We niruhusu nije PM tu tumalizane huko [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Msukuma naomba leo uselfike nikuone rafiki!!
Hahaa 😂 rafiki weka hapa jamani !! Hata picha tu mpaka pm jamani!!!!???We niruhusu nije PM tu tumalizane huko [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Umeenda kuedit 😀😀 original nilisave 😎12:28 AM. Goodnight people...let peace and love reign...[emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji42][emoji42][emoji42][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2032205
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Umeenda kuedit [emoji3][emoji3] original nilisave [emoji41]
Huku kwemaa Mkuu...Kwema kabisa mkuu
Vipi pande hizo Kwema
Usingizi umenigomea aisee ila ngoja nijaribu...wikiendi njema [emoji1545]SHIMBA YA BUYENZE hivi si ulale jamani [emoji1787][emoji1787]
Wengine huku ndio tunaamka.
Ungempa ata mkono wa hongera ili ajue anachofnya kinawakoshaa baadhi ya watu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sikuwa na hela mkuu.
Ila dereva wa aina ile huwa nampenda sana hasa kwa safari za asubuhi.
tibitii kalumbuNaona upo jiji letu pendwa
Ya sasahiivi iko wapi?tibitii kalumbu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ungempa ata mkono wa hongera ili ajue anachofnya kinawakoshaa baadhi ya watu.
Nini maana ya huo muangalio kwakwe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ikabidi tulivyoshuka tumuangalie kwanza,,
Yule ndio dereva sasa[emoji3]
hahahahahhaha Kendrick kacheza game mpaka nafika uyole simu haina chajiYa sasahiivi iko wapi?
Ulishindwa kwelii kupiga picha hata moja hapo Uyole [emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeamua ujilipue et eeeh? Bas sawa.Amani ndugu zangu. Amani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2032019
Vituo anasimama ila yuko faster..hakuna kuulaza damu.Nini maana ya huo muangalio kwakwe?
Huyu ndo dereva sasa?
Huyu dereva bana anapita vituo ata hasimani?
Mngempa hongera akavimba kichwa[emoji23][emoji23]
Dogo amezingua.hahahahahhaha Kendrick kacheza game mpaka nafika uyole simu haina chaji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilishasemaga mie humu JF kna watu wana stress za maisha, wanatafuta Pa kuzitua leo wanajionesha wazi wazi.Stress ni mbaya sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuimba nimeanza nikiwa na miaka mitatu,
Ni miaka ,zaidi ya 22 iliyopita,,wala sitegemei kuacha kwa maneno ya takataka moja.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Katika zote,hakuna ramli mpya hapo.