Hifadhi nguvu na amani yako kwa matumizi.mengine ya msingi.
Kwanza huu ni uzi wa mapichapicha...wanaotaka kutujazia magazeti ni kupita kama hauoni mtu.
Nani hapa hana dhambi au madhaifu yoyote hadi aanze kuhukumu wengine?
Cha ajabu watu wanataka kushamvuluana jukwaani tena mtandaoni ambapo hata hamfahamiani?
Sehemu ambayo mtu anaamua awe kitu chochote anachotaka yeye.
Hata uraiani mtu hauwezi kuhusika na maisha ya kila mtu...kuna wavuta bangi, walevi, wezi, waongo, wazinzi, wadangaji...orodha ni ndefu. Sasa ukuanza kuhangaika na hao watu si utazeeka kabla ya muda?
Hao wasioelewa achana nao, tupia picha kwanza
View attachment 2031996