Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Ila omba sana Mtakatifu usizae litoto shoga!Hadi kaifikie hii comment ni asubuhi![]()









Wakati wote Mungu ni mwemaIla omba sana Mtakatifu usizae litoto shoga!![]()
Si mnasema mvua zimenyesha?Hili joto linaweza kuuwa mtu aisee
Ni kama zimelizidishaSi mnasema mvua zimenyesha?
Duuuh bro vile cdhanPole sana mkuu. Naonaga wataalamu wa tiba asilia wakijitapa kuwa wanaweza kuvitibu. Hata humu akina MziziMkavu huwa wanajitapa kuwa vinatibika. Jaribu na huko kama bado hujajaribu...![]()
Achana na wavuta bangi.punguza makasriko yako wee kijana, wee ukinywa pombe, na mwenzako akakunjwa 7, unaumia na kuteseka wapi?
Na uache kupanick hovyoo, nlishakuambia huna hoja wee, ulikua mbishi, kilichofuata?
Poleeeeeeeeh.
Duh na nna safari ya kuja huko kukikucha panapo majaliwa....Ni kama zimelizidisha
Pole sana.Ulcers ni mbaya, asikwambie mtu,,from wailes to sudani just for a snack ili viache kuuma,,, na dawa za mwezi mzimaView attachment 2031998
Sent using Jamii Forums mobile app
Usafiri salama mkuu,Duh na nna safari ya kuja huko kukikucha panapo majaliwa....
Amina.Usafiri salama mkuu,
Daaaamn,, bi mkubwa kashapiga sana kelele kwenye parachichi mie ndo kwanza kama sisikii,,Pole sana.
Mimi niliugua na nilipona bila kumeza hiyo dosage ya hospital.
Nilijitahidi kula mara kwa mara na vyakula laini ,nilipendelea zaidi mlenda.
Nilitumia unga wa mbegu la parachichi ndani ya wiki kadhaaa...
Pia nilifanya sana maombi kwa imani, hatimaye nikapona kabisa ndani ya miezi miwili tu
Ila ni kwamba unajikomoa mwenyewe.Daaaamn,, bi mkubwa kashapiga sana kelele kwenye parachichi mie ndo kwanza kama sisikii,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mno.
Bangi inapigwa marufukuUmeona alivotuita mie nawee?![]()