Sawa lakini kama kila mtu angeishi anavyotaka, jamii ingeparaganyika. Maelewano katika jamii yanamtaka kila mwanajamii kuacha kufanya baadhi ya vitu kama vinawakera wengine - hasa kama vitu hivyo havimwongezei wala kumpunguzia cho chote. Hiki ndicho kiini cha dhana ya "kuishi vyema na watu". Kama kila siku wewe ndiyo kiini cha purukushani na migongano katika jamii, pengine ni wakati wa kurekebisha baadhi ya mambo hasa kama hayakunyimi raha na utashi wako.
Ila kama burudani tyuuh ni muhimu zaidi kuliko utangamano na maelewano na watu basi endelea tu mkuu. Mpaka wakuroge yaani [emoji16][emoji16][emoji16]