Selfika na JF: Snap it. Show it

Na tangu mwanzo hilo halikuwa lengo lenu kuongelea.

Ila kuna watu wamelazimisha hadi mmeanza kuongelea.


Tuendelee na essay mama Beijing[emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cc una nn wee, eti [emoji406] ziendeleee, uwiiiiih
 
View attachment 2031966
Its furahiii day [emoji483][emoji483]
Kwenye hii sredi yako ulitufunga kamba Priscallia. Sijui kwa nini ulitufanyia hivi. Si kwa mipaja hii yenye midimpozi [emoji2099][emoji2099][emoji2099]

 
Kumbe una kumbu kumbu, na ukiangalia chanzo cha zile picha kuzituma n nn? Kna mtu m1 humu yeye alikua ana ni attack sana hata pasipohusika, ndo nkaamua kutuma zile picha kumfurahisha zaidi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimependa na hii picha, nshai download.
 
Mkuu hiyo jamii yenyewe imejaa maovu na unafiki tu! Jamii ambayo inamuona mzinzi yuko sawa na shoga hayuko sawa ni jamii ya mashetani kama mashetani wengine tu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kanaanziaga kusoma juu kalipoishia.
Na kanasomaga comment moja moja na kanatoa response ,,hakana utaratibu wa kusoma zote.
Ndivyo kalivyo siku zote,siyo kwenye mada hii tu.
Unavyokapamba sasa...Hooovyoo!...Kakanye kapunguze mashauzi kapunguze kuudhi wananzengo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099]
 
hahahahahahhahahahah jomoni lazima kuna namna mdomo unakua...imagine kidume kinasema jomoni[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...


anyway

bia tamu[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

Akiwa ni mtu wangu akisema hivyo kabla hajamalizia ameshaoga glass ya beer na nainuka namuacha hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Si mnaona sasa! Yaani hadi Shetani mnamvisha utakatifu kwamba eti hata dhambi ya ushoga haimuhusu wakati Mungu mwenyewe kawaacha wanaishi na wengine anawabariki na anawapa nafasi ya kutubu vinginevyo si angewaua tu chap!
Kwanza almost mashoga wengi maisha yanawaendea poa sana, kuliko hata hao straight, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Maisha yanawachapa, hasira kwa ma$hoga, na wanawakuta wasiojielewa,

Yaan mtu anaandika essay refu, anarudia kitu kile kile afu sasa hata hatoi huo uthibitisho wake,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nachekaga sanaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndiyo unafiki wenyewe huo sasa! Kwamba unataka hoja gani sasa hapo ya kuthibitisha kwamba wale wanaowahukumu mashoga na kuwaacha wazinzi ni wanafiki unataka turemberembe maneno ili wewe ufurahi ndugu yangu ama?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umewapa za chembe, umewapa za uso wanabaki kuparaganyika, na umejua kuwakomesha kwa kweli.
Nyeupe n nyeupe,na nyeusi n nyeusi, bravooooh sana.
 

Wewe shauri yako [emoji4]
 

Hey ladies, mkuwe basi jamani. Yaani uzi mzima mmeuharibu kwa kuleta mada zenu za ushoga embu hayo mambo yenu mkayazungumzie huko PM.

Huu uzi ulikuwa mzuri mmeanza kuuharibu kwa kuingiza mada zenu za ajabuajabu, muwe na aibu basi.
 
Hatutaki watoto wetu wawe mashoga lakini pia hatutaki watoto wetu wazinzi! Sawa basi tumeshamaliza kuwatukana mashoga tuhamie kwenu wazinzi tuanze kuwatukana mkuu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani hao mashoga anawaweza bas? Mbna wapo wengi mtaan tena wanapigana vikumbo huko kwenye ma clubs na pubs, kwanini asiwaue na hilo panga au jambia na akawatupe huko mtoni anakosema,
Anakwama wapiiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hasira zake zipo nyuma ya keyboard, atoke hadharan sasa tumuone akipinga yeye si mwanaume rijari haswaaaaah.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka, nacheka na kucheka tena.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] comment hii utawaua nguvu za kiume za kuokoteza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…