T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,928
- 30,075
Hahaha...Eti vidole kama tangawiziHahaa mdogo wangu hivi vidole kama tangawizi Ndiyo vyenye unavitamaniView attachment 2030404

Nimejaribu kuwaza tangawizi ilivyo na vidole vyako vilivyo

Hahaha...Eti vidole kama tangawiziHahaa mdogo wangu hivi vidole kama tangawizi Ndiyo vyenye unavitamaniView attachment 2030404


Huyo ni hatari sasa, yaan yuko huko kabisaa, sidhan hata km unaweza mfikia yeye.Hahaaa hata mie ulivyosema tu una sis wako tom boy nikawaza hivyo kuwa mmebadilishana! Anyway i hope hayuko kwa ile society kindakindaki au na yeye ni one of them?
Hahaaa bila shaka utakuwa umeshaelewa jirani, na kwamba umeuliza just a rhetorical question.Hapa unataka kumaanisha nini jirani yangu?![]()


Dooh yaani bora hata ungesema "mie ndiyo daktari wa wanawake najua ukweli" walau ungeweza kunishawishi ila kumbe ni mwanaume tu? Kwamba ukishakuwa mwanaume tu basi automatically utajua kila kitu kinachohusiana na uzazi kwa mwanamke?Haya bwana, mie ndio mwanaume najua ukweli![]()


Si umeviona hapoHahaha...Eti vidole kama tangawizi
Nimejaribu kuwaza tangawizi ilivyo na vidole vyako vilivyo![]()


Daah siwezi mfikia aise sababu mimi siko kwa hiyo society. Naweza sema mimi ni mere tom boy ila i'm effin' straight.Huyo ni hatari sasa, yaan yuko huko kabisaa, sidhan hata km unaweza mfikia yeye.
Yeye huyo daah,Daah siwezi mfikia aise sababu mimi siko kwa hiyo society. Naweza sema mimi ni mere tom boy ila i'm effin' straight.



Nikatale ila huo ukweli, ili kuondoa utata uje ofisini kwetu tukupime bure kabisa tukuoneshe position ya kiazi chako 😀😀😀Dooh yaani bora hata ungesema "mie ndiyo daktari wa wanawake najua ukweli" walau ungeweza kunishawishi ila kumbe ni mwanaume tu? Kwamba ukishakuwa mwanaume tu basi automatically utajua kila kitu kinachohusiana na uzazi kwa mwanamke?![]()
🤣🤣🤣🤣🤣Sasa sijui hicho kizazi kinajuaje kuwa huyo mmiliki wake ni housegirl!
hawa wana maumbile mafupi kishenzi, kidogo tu imo mzee baba 😀😀😀Hahaha...Eti vidole kama tangawizi
Nimejaribu kuwaza tangawizi ilivyo na vidole vyako vilivyo![]()
Hahaha, hongera mkuu. Ngoja tusake za ChristmasSina mood ya kumchapa borker toka next week nilivyo mvuna kwe xxxJPY bado nakula pansion na kupuliza kama mzee wa kupuliza
Nimepita pita naichaka mda si mrefu EURAUD 😀😀Hahaha, hongera mkuu. Ngoja tusake za Christmas
YA ya 6

Nimekumbuka ile meme fulani kipindi cha coronaDooh yaani bora hata ungesema "mie ndiyo daktari wa wanawake najua ukweli" walau ungeweza kunishawishi ila kumbe ni mwanaume tu? Kwamba ukishakuwa mwanaume tu basi automatically utajua kila kitu kinachohusiana na uzazi kwa mwanamke?![]()










Na mimi nataka nikafanye uhousegirl.
Thanks for the laugh admirer .
The so called"Wafanya research" ni wengi sana ila research kama research ni chache ajabu![]()
Na mimi nataka nikafanye uhousegirl.
Nione kama ubekitatu utanisogeza kizazi.




nimecheka had kupaliwa hapa, cc una nn wee?Yawezekana ubekitatu unasogeza kizazi karibu na hamsemi.nimecheka had kupaliwa hapa, cc una nn wee?
Wana maumbile mafupi kishenzi....maumbile gani/yapi mkuu?hawa wana maumbile mafupi kishenzi, kidogo tu imo mzee baba![]()
