Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

As usual[emoji38]..Enjoy mama[emoji1634]

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app

image-2021-11-28-07:51:47-717.jpg

Mapambano yanaendelea

Watu wa Chanika wana enjoy sana
 
Mtoto Depal sasa hivi yupo fofofo,midenda inamtoka shavuni inachafua shuka...Kwa kuawahi kuamka sasa,Kama jogoo[emoji28].Akiamka me ndy najiandaa kwenda kulala

Ila tunaofanya kazi za kukesha tuna maisha magumu sn.Yani mida huu mtu upo macho unaweza kujikuta unazibuliwa vibao vya uso na majini [emoji1787]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
😄😄😄😄😄 hapa ndio naamka asee , nakutana na mvuaa tu.. mda huo Depal alikuwa kalalia kifua weweeee
 
Back
Top Bottom