cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,335
- 188,008
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtoto Depal sasa hivi yupo fofofo,midenda inamtoka shavuni inachafua shuka...Kwa kuawahi kuamka sasa,Kama jogoo[emoji28].Akiamka me ndy najiandaa kwenda kulala
Ila tunaofanya kazi za kukesha tuna maisha magumu sn.Yani mida huu mtu upo macho unaweza kujikuta unazibuliwa vibao vya uso na majini [emoji1787]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app