Eti jini mkata kamba1😅😅😅Tulibadilishana na majina.
Akaajiita Saint Jack,nikajiita Anne Palladino.,
Nikawa namwaga hadi mashairi mtoto wa watu kama mwanahiphop vile,
Nikamwandikia na maujumbe ya mahaba kwa mwandiko wangu mzuuri ..
Lakini wapi[emoji23],jini mkata kamba akapita.
Jack Palladino ni wako tu mama mchungaji