Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Haha kwani bado umelala??
Umepataje nguvu ya kunyanyuka kitandan?
Umepataje nguvu ya kunyanyuka kitandan?
Bado sana
Kuna giza huku
NiniHahah
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji817][emoji625][emoji419][emoji779]
Mambo mtoto mzuri.We bwana nikupige una hela? Embu kwenda huko.
[emoji109][emoji123]Kumekucha tukapambane wakuu...View attachment 1223948
Una raha kama bado umelala[emoji13]Umepataje nguvu ya kunyanyuka kitandan?
Kweli maisha hayana formula[emoji23]hata mimi nilikuwaga nasema ivyo ivyo nilikuja kujikuta nimedata kwa ka. fala fulani tu hakana hata mzigo kiivyo na kananiendesha hatari ndipo nilipogundua maisha hayana formula
[emoji86][emoji86][emoji86]
Bonyeza nyota kisha tisa kupata mtupio huo bure