Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Bonyeza nyota kisha tisa kupata mtupio huo bureKupendeza hivi nabonyeza ngapi
Bonyeza nyota kisha tisa kupata mtupio huo bureKupendeza hivi nabonyeza ngapi
Naona umeona Sasa jinsi nilivyo serious [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiku mwemeni.
Picha yangu ya mwisho humuView attachment 1223793
Amen....Usiku mwemeni kesho nayo siku.
Tukajenge ndoa sasa[emoji126][emoji126]
Aisee umenifanya nikumbuke ulichoniambie siku ile kwenye uzi wa Nyanyere.Hizo ndio za out mwenzio..
Hujaziona nyingine Sasa za kila siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Magunia haya hapa...nikianza kupondwa Sasa...nawekaga pamba sikioni
Yaani Mimi..Nina matatizo Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nashindwa kuendana na Kasi ya dunia
Nimeona L shape furogi.
Aisee, kumbe mate ulinifahamia kwenye mkwaruzano[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie ndo nilikujulia huko kwenye mabifu... Nikawa nakuogopa balaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nipo hapa team popoNilijua umelala[emoji28]
Akhsante [emoji3526][emoji3526]African kwiini.. [emoji126][emoji126][emoji126]Usitubanie pics bhana.
Unapendezea kweli kwenye hizi African attires!!
NdioMmh unapiga gym nini...maana viwiko vinaonekana konki
hahahha umekosaaaa ni kiluvya gogoniNitapajua tu jamani si maili moja insta babe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona unajituma kweli mdogo wangu pambana hizo ng'ombe zije nyumbani aiseNaona umeona Sasa jinsi nilivyo serious [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimepiga course ya kisukuma balaa..
Ng'ombe 70 mchezo[emoji2][emoji2]
Piga maombi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona unajituma kweli mdogo wangu pambana hizo ng'ombe zije nyumbani aise
Aisee mimi picha zangu nilizotuma nafikiri zinatosha.Akhsante [emoji3526][emoji3526]
Tumekumbukwa waafrika
Mbona wewe pics zako unabania ila zangu unataka niachie zote.
Jana umenichezea mchezo mbaya na picha lako la mzungu pale juu
Hahahaha...Aisee umenifanya nikumbuke ulichoniambie siku ile kwenye uzi wa Nyanyere.
Keep it real girl.. More admiration to you
Sawa mwifwa wa anko magu[emoji2][emoji2][emoji2]Aisee mimi picha zangu nilizotuma nafikiri zinatosha.
Nikisema nitume zaidi na zaidi ntakuwa napunguza uhuru wangu wa kuchangia baadhi ya mada humu. [emoji848][emoji848]
Haujanizidi mimi my dear yaani hata mama yangu tu anajua kuvaa kuliko mimiHizo ndio za out mwenzio..
Hujaziona nyingine Sasa za kila siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Magunia haya hapa...nikianza kupondwa Sasa...nawekaga pamba sikioni
Yaani Mimi..Nina matatizo Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nashindwa kuendana na Kasi ya dunia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haujanizidi mimi my dear yaani hata mama yangu tu anajua kuvaa kuliko mimi
Mbona hukunitag twin chibonge jamani[emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8]View attachment 1223588
Njooo nyumbani tukae, tukeshe tunajsnap [emoji91][emoji91]
Unajua hili suala la kuwa fair kwa mwanamke ndio limepelekea leo hii tunaishi kwenye gynocentric society.Manipulated? Hivi kwanini wanaume wengi mnaona kama kuwa fair kwa wanawake ni kuwa manipulated?