Kwakweli wanawake wangenisamehe hivi tu niko mwanamke lkn ukipita mzigo lazima niuzoom je ningekuwa dume,,, nisingejenga
hata mimi nilikuwaga nasema ivyo ivyo nilikuja kujikuta nimedata kwa ka. fala fulani tu hakana hata mzigo kiivyo na kananiendesha hatari ndipo nilipogundua maisha hayana formulayeah...mpambanaji yuleLakini bado anapambana aisee
sijutikii katu piga kelele .........sihofiii watu.Mshana sikuelewi ujue?
Nini hiki umefanya! chuma ulete hadi kwenye avatar?
Nimeamua kusema ukweli sijali kama utanikaba koromeo utanivunja na kuniacha kimeoView attachment 1223707
Hahahaha kwa hali hii itanibidi tu mkuuHahaha amua kuiweka ndani mkuu. Hata ukichacha inavumilia.
Ww ndio Hellen yule binti wa kimeru mahondaw?Hakii nimeachwaa mimii
Smart911 love mara moja moja kujitoa ufahamu jamani kha! View attachment 1223683
HahahahaTUTAPATA TABU SANA
likewise mpendwaBlessed Saturday Dears..!!
Ndio nini
hata mimi nilikuwaga nasema ivyo ivyo nilikuja kujikuta nimedata kwa ka. fala fulani tu hakana hata mzigo kiivyo na kananiendesha hatari ndipo nilipogundua maisha hayana formula



Eti kafala fulaniUkiteleza unanyanyuka unasonga mbeleUnaweza ukateleza ukajikuta umeangukia kwenye mahusiano ya watu
ndio mkuu hata kenyewe kanajua kabisa sema ndiyo ivyoEti kafala fulani
kifua changu kipo kama ndege mtaacha bure kula mishikaki na nyama kisa mimi


kwani sikuzingine nakuagaje?Kumekucha tukapambane wakuu...View attachment 1223948