Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,894
- 52,484
Una raha kama bado umelala[emoji13]
Usicheze na barid
Una raha kama bado umelala[emoji13]
Umeshiba hela wewe ndio maana unasikia baridi.Usicheze na barid
Hili jeans [emoji158] ni lile lile la jana [emoji86][emoji85]Kwangu pamekucha tangu saa 12.[emoji24]View attachment 1223959
Nawasalimu katika jina la bwana wapendwa,,,,
Baharia wa kweliLast nightView attachment 1223961
Umeshiba hela wewe ndio maana unasikia baridi.
Kwangu pamekucha tangu saa 12.[emoji24]View attachment 1223959
Ambao hatuna pesa ndani hapalaliki.Kwel ukutukanae hakuchagulii tus
Ewaaa, bado jioni muda wa bata.[emoji13]Watu mnapendeza asubuhi asubuhi tu
Asante sana mpendwa...natumai umeamka salama?Nawasalimu katika jina la bwana wapendwa,,,,
hivi sio viatu vya Mshana Jr kweli?!Kwangu pamekucha tangu saa 12.[emoji24]View attachment 1223959
Hahahaha kwa hali hii itanibidi tu mkuu
Ushindi ushauchukua mapemaaaaa....Nini
Au siyo??Sijaangalia bado
Sijajua hapa nimelala ni wap!
Tabata mojerKamvua kamekata tukalijenge nation. Japo akili inawaza kulala tuuuView attachment 1223965View attachment 1223966
Dah... Nimeliona bumunda... [emoji85][emoji85][emoji85][emoji23][emoji23]Unakichaa[emoji13][emoji13][emoji13]View attachment 1223962
Ukiangalia zinafanana?
View attachment 1223963
Halafu ya jana haikuwa suruali. Nilikuwa inaishia mapajani.