Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Usiwasikilize mdogo wangu.
Usiwasikilize kabisa. Nguo zako ni zuri ,zinakupendeza,zinaendana na mwili wako.
Nguo za kisasa sio lazima ziwe suruali za kuchanwa chanwa kama niliyovaa dada yako leo, watu wamekariri tuu.
Wewe haujaona kila picha uliyoituma imetisha?
Hao wanaokuona mbibi wamekariri tuu hawajui kitu.
Hii niliipitaje Jana mimi.
Amen kubwa.

Wanasemaga eti penye miti hapana wajenzi na upele humwota asiye na kucha ...ndio Mimi
 
Back
Top Bottom