Selfika na JF: Snap it. Show it

Nikikumbuka Olevel zile fimbo za mwalimu kwenye kuchambua sentensi sijui matawi,,dah mara unaandika kivumishi kumbe ni kitenzi kishirikishi sijui
Mara shina,unanyumbua sentensi nazo zinakunyumbua,inakuwa mnyumbuliko.
Niliachana kabisa na habari za kiswahili.
Au kwenye Fasihi Andishi unakutana na swali kama hili. Kiswahili nadhani nilipata D kama siyo F kabisa
IMG-20211010-WA0074.jpg
 
Back
Top Bottom