Usisahau kunitag location, nina bill yako hapa ya Hennessy tatu kama utamaliza 😋🥂Jioni nitakuwa mjini napiga vyombo
There must be a legend somewhere hana habari km shule inaendelea anagutuka siku ya mtihaniHii ni 4th week [emoji23] watu wako ghetto ni msuli bed tu
sasa ngoja ifike 7th week ukifika saa 1 hupati seat
View attachment 2020000
[emoji23][emoji23][emoji23] huyo wa mwisho ni too muchThere must be a legend somewhere hana habari km shule inaendelea anagutuka siku ya mtihani
View attachment 2020569
Kumbe unapajuaMafiat hio [emoji28] njia panda ya kwenda mwanjelwa, uhindini na iyunga[emoji28]
Na nishawah piga picha hapoKumbe unapajua
Chaaaah![emoji1787][emoji1787]Usimle kimasihara sasa [emoji28] maana hawa watu kwa vyipsi ni balaa[emoji28] manzese kila chocho ni machinjio tu[emoji23]
Kwani jamaa anaishi katikati ya barabara huyo😅 hebu acha utoto basi!Chaaaah![emoji1787][emoji1787]
Tunapeana earpods tu..
Tena katikati ya barabara,kwenye stand ya mwendokasi[emoji16]
Mimi nashuka katikati ya barabara,ananipa,tunaselfika ,naondoka hapohapo katikati[emoji846]Kwani jamaa anaishi katikati ya barabara huyo[emoji28] hebu acha utoto basi!
Geto lazma ufike bwana wadaslam ni wakarimu 😅Mimi nashuka katikati ya barabara,ananipa,tunaselfika ,naondoka hapohapo katikati[emoji846]
Wadaslam siyo wakarimu hata kidogo.Geto lazma ufike bwana wadaslam ni wakarimu [emoji28]
Iweke basi tuone jiji letuNa nishawah piga picha hapo