Eizyek
JF-Expert Member
- Aug 12, 2019
- 800
- 2,776
Alafu wewe usitudanganye....
Mafiat hio 😅 njia panda ya kwenda mwanjelwa, uhindini na iyunga😅Yaani Mbeya nzima eti ndio tuna mataa hapo tu,,
Ndio centerView attachment 2017689View attachment 2017690
Saga saga ubwie 😅
Usimle kimasihara sasa 😅 maana hawa watu kwa vyipsi ni balaa😅 manzese kila chocho ni machinjio tu😂Sawa mimi nipo manzese. Kama unatoka kivukoni shuka kituo cha manzese
Goodie Goodie
Hahahah hayo mavitu ni ya wachina bana nikajua mtoriuyoga huo mzee baba
haya mambo ya watoto wa kishua tulio kulia ushuani 😀😀😀😀😂😂😂Hahahah hayo mavitu ni ya wachina bana nikajua mtori
watu wako ghetto ni msuli bed tu
watu wako ghetto ni msuli bed tuSawa mtoto wa kishua sie watoto wa mbwa tunanyonga dagaa uono na nguna kubwa ile ki gangsta! Haina bobo ani...Kitu pwanii!haya mambo ya watoto wa kishua tulio kulia ushuani 😀😀😀😀😂😂😂
Asee wasalimie Ugweno hapo😅
Singida moja mzeeSawa mtoto wa kishua sie watoto wa mbwa tunanyonga dagaa uono na nguna kubwa ile ki gangsta! Haina bobo ani...Kitu pwanii!
😁😁 Jamie Fox bana...haya ntawasalimia 🙂Asee wasalimie Ugweno hapo😅
Muda huu?Singida moja mzee
View attachment 2020017
Kwa anaethubutu kumuuwa mtu kwa sababu zozote zile,I mean zozote zile kama ni kuchukuliana wake au sijui kudhulumiana pesa au kunyang'anyana vyeo iwe yoyote ile inampasa kujua kwamba furaha yake haitoletwa kwa kumtoa yule anayemchukia duniani,tujifunze kuishi katikati ya maadui zetu!Moja ya mambo yanayoitia doa nchi ni pale ambapo mwanasiasa wa Chama Kikuu cha Upinzani anatoweka katika mazingira tatanishi. Juhudi za kumtafuta zinapokosa mafanikio, mnaukuta mwili wake mortuary! Hakuna ajuaye kama Polisi 'wanaokota mwili' wanatangaza maeneo husika kabla ya kuupeleka mortuary! Ole wako uhoji mazingira hayo! Utahitaji ujasiri wa Kiaskofu kuhoji mambo kama hayo!
Ndugu Erasto Amos Makaranga ambaye kabla ya umauti kumkuta alikuwa Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Buswelu, Jimbo la Ilemela katika Mkoa wa Mwanza. Taarifa zinaeleza kuwa amekutwa amekufa baada ya kupotea 7 Novomba 2021. Kupotea kwake na taarifa za kifo chake ni moja ya mambo yanayofikirisha na kuibua hofu kubwa katika nchi.
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile MwamakulaView attachment 2019522
Tuheshimu nafsi za watu,inanifaa nini kuuwa mtu kwa kitu ambacho sina guarantee ya kuki-maintain hata miezi miwili ijayo?Kwa anaethubutu kumuuwa mtu kwa sababu zozote zile,I mean zozote zile kama ni kuchukuliana wake au sijui kudhulumiana pesa au kunyang'anyana vyeo iwe yoyote ile inampasa kujua kwamba furaha yake haitoletwa kwa kumtoa yule anayemchukia duniani,tujifunze kuishi katikati ya maadui zetu!
Yeye ameondoka ila duniani wapo watu kuishi kwao walitegemea uwepo wa huyu mtu,watoto walitegemea Baba yao awaletee chakula kama wanao wanavyokutegemea wewe,awalipie school fees kama unavyofanya wewe,Baba/Mama yake pengine ni wazee sana tayari wana maradhi sugu yanayotaka pesa kununua dawa na ilikuwa zitoke kwa huyu marehemu sasa hawazipati ni wengi huwahitaji wapendwa wao pale wanapofariki hii dunia tunategemeana so kila mmoja wao niliowataja atakapokosa huduma atamkumbuka huyu mtu na kila anapomkumbuka nafsi yake huugua na kila atakapoumia machozi yake hulipwa directly kwa muuwaji kwa njia mbalimbali ambazo anaweza azione au asizione hili huwa kama fumbo na hutembea na kizazi cha muuwaji.
Tuheshimu nafsi za watu,inanifaa nini kuuwa mtu kwa kitu ambacho sina guarantee ya kuki-maintain hata miezi miwili ijayo?maana hata kama nitachukua pesa je nikifa kesho then zitanisaidia nini?kazi?je nikifukuzwa?tamaa ya mali nikiondoka mwaka mmoja baada ya kuuwa nitaondoka nazo kiasi gani?
Inasikitisha?Mungu Mwenyezi amrehemu apate pumziko la milele.







