hakika tumbo langu limepata shibe,
Iv dea kwa milo hii mbna hufutuki? Npe siri ya mafanikio.
Maan mie nikila kdg tyuuh menyu km hiyo, lazma nifutuke, had nawaza kukata utumbo wallah iv.
kumbe we ni ka bwana mdogo tu,kuna siku niko kwenye dala dala Mwanza hapo mbele yangu amekaa mzee flani kachomekea shati ila chini ana mi sendo afu anabonyeza simu ameingia JF sijui ni member gani humu😂