Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Na hii nayo ni rahisi tu ,unaweza kusambaza na kijiko unachomwagia au pan yenyewe kwa kushika mkono wake na kujizungusha kutengeneza duara.

Siyo ngumu jaribu tena utaweza- ili iwe simple tumia mayai mengi
Shida ipo kwenye kusambaza.

Niliwaza tu nikajisemea chapati za maji siyo za kila mtu.

Sijajaribu tena[emoji846]
 
Uzito wa pan na kiwango cha moto ,vinadetermine pia aina ya chapati inayotoka.
Kwa mpishi yoyote kubalance moto siyo tatizo na uzuri chapati unapika nyingi kwahiyo ukiharibu ya kwanza- unafuta pan yako unabalance moto unaendelea kupika.

Believe me chapati za kukanda wanakoseaga zaidi kwenye ukandaji wenyewe
 
Mimi nadhani wanakosea kwenye kuipika.
Kuikanda ni rahisi sana,hadi wenye mikono legelege kama yangu tunakanda.
 
Nzito.
Isiyopitisha moto haraka..ili zitoke kama mayai mayai hivi.

Ikiwa pan nyepesi inababua na haziivi vizuri,
Kwanza pan yenyewe itachafuka[emoji846]
Unakuta chapati imebabuka na haijaiva uwii😂😂
Kuna zile pan za wale wamama wanaopika na kuuza chapati, zinaonekana nzitoo ndio maana wanatoaga chapat nzuri nao
 
FB_IMG_1636742472830.jpg
 
Back
Top Bottom