Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

slim shady
JamiiForums-545729215.jpg
 
Sasa huyo mamba tu unaogopa?
Katika pitapita tulikuta chatu amembana mbwa, nilirekodi video ni kubwa siwezi share...

Yule mbwa ili kumuokoa ilibidi tuanze ku deal na chatu, later huyo jamaa akaja na panga akamchinja chatu... same day nikakutana na mamba.. hio place kuna kenge,chatu na mamba...

View attachment 2003003
Mbwa alipona?
Mbwa kakonda, hampi chakula cha kutosha?
 
Back
Top Bottom