financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,514
Wow, kuna warembo humu ndani 😍
Wow, kuna warembo humu ndani 😍
[emoji23][emoji23][emoji23] yule n kiboko, alianza kujulikan tang mock 4m 2, ye n mwendo wa karatas af hajar wala nn, na hakamatw yaan hata usimamiz uwe mkali,
Bas sawa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule kiboko, mie nilikua nkikutan nae ananipa story nzito af nyeti na evidence kabisaah,Dogo tunakutegemea jukwaa la burudani ulitendee haki.
Lilipwaya sana baada ya warumi kuondoka[emoji174]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie npo, mic u xaan[emoji7][emoji7][emoji7].Kamwanafunzi kangu upo?, habari ya siku katotoo[emoji8]
Mmh hata sijui [emoji6][emoji6]Karma zoe....wapi hii locationView attachment 2003414
Uwe wifi angu wallah, maan una sifa zote za kuwa mke wa bruuh. [emoji23][emoji23][emoji23]
Woah [emoji173][emoji173]
Mwenye mafweza yake mjini 😘Wow, kuna warembo humu ndani 😍
Hebu tumuone huyo bro 😂Uwe wifi angu wallah, maan una sifa zote za kuwa mke wa bruuh. [emoji23][emoji23][emoji23]
huyo mange kazi yake kusema watu, yeye mwenyewe anafukuliwa tope na mzungu.Ubuyuuuuuh pambeeeeeeeh,
Boss na wake zake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
RIP binamu warumi, leo mambo wazi wazi. WeuweeeeeeehView attachment 2003577
Niaje niaje mwanangu??Woah [emoji173][emoji173]
Ntaktumia inboo, [emoji23][emoji23][emoji23]Hebu tumuone huyo bro [emoji23]
Jina na profile tofaut na ulivyo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee mtu khaaah.huyo mange kazi yake kusema watu, yeye mwenyewe anafukuliwa tope na mzungu.
na wazungu wa US hawarembeshagi na wanawe washaanza kufokolewa.
😂 the beautiful girl Depal, humu ndani tusichukuliane poa , kuna pisi kali balaaMwenye mafweza yake mjini 😘
Bado kidogo saaana.Sijakuona mdogo angu, ndiyo tunamaliza chuo ama bado bado eeh?
hahahhaha nakuandalia maumivu makali