Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Bibie, vipi hali yako?? Za masiku?? Nsalimie Khantwe ukimuonaMmh muone
Teh ngoja tuone ya vidole
Bibie, vipi hali yako?? Za masiku?? Nsalimie Khantwe ukimuonaMmh muone
Teh ngoja tuone ya vidole
Kusafiri kawaida yakeMkuu hii ni background au ni kweli ulikuwa kwenye mapiramid Kwa farao huko?
Nipo huku bhana si unajua tarehe hizi tenaPoa poa mwanangu, nakuona uko kwa kina Pharaoh.
Dogo avatar yako ni nouma haahahahah. Ndio naskia habari za namba 8 sijui 9
Wewe ntatoa ushuhuda. Ni namba 8 haswaaaa
Atakuwa anaenjoy sana , napenda sana kusafiri lkn mazingira yangu yananibana sana
Naona amependa wallpaper yangu 😂😊
Mkuu, make time for yourself. Follow your heart bob maisha mafupi hayaAtakuwa anaenjoy sana , napenda sana kusafiri lkn mazingira yangu yananibana sana
Nitaanza kufuata nyayo zako kama baada ya miaka mitanoMkuu, make time for yourself. Follow your heart bob maisha mafupi haya
Aisee!


All the best.Nitaanza kufuata nyayo zako kama baada ya miaka mitano
Safi aise. Sisi wengine ngoja tuendelee kupambana kuzitafuta.Nipo huku bhana si unajua tarehe hizi tena
Nyama ya chatu ni tamu sanaSasa huyo mamba tu unaogopa?
Katika pitapita tulikuta chatu amembana mbwa, nilirekodi video ni kubwa siwezi share...
Yule mbwa ili kumuokoa ilibidi tuanze ku deal na chatu, later huyo jamaa akaja na panga akamchinja chatu... same day nikakutana na mamba.. hio place kuna kenge,chatu na mamba...
View attachment 2003003
🤣🤣🤣 Sio poa.hahahhaha nakuandalia maumivu makali
Cha kukufanya unitukane? 😂Dah yaani wewe ,sijui nikutukane.
Nipo Arusha- naondoka na ndege ya usiku, naomba tusalimiane
May au June