Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mamba ana very powerful bite ever, hakuna mnyama i think anaweza kung'ata kwa nguvu kama mamba, jaws zake ni very powerful and tough,

Mkia wake ndio chanze cha yeye kuogelea majini ukiwa kama propeller kumsogeza mbele, so ni very powerful..

Unless kama umechoka kuishi, huo mkia akikupchapa nao... ni hospitali...
 

Usije ukajaribu kuingia na karatasi.
Huo ni uhujumu mitihani


Siku ukikaribu kuwaiga maexpert wa madesa aiseee utalia na kusaga meno.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wee ktk maisha yangu, xwez kuingia na karatas ktk chumba cha mtihan, yaan nkfka mlangon mwenyew natoa na kutupa.

Swez hicho kitu na sitokaa nifanye, natumia uwezo wangu binafsi, ila wapo makonk had michoro wanaingia nayo mweeeeh,
 
Wee ktk maisha yangu, xwez kuingia na karatas ktk chumba cha mtihan, yaan nkfka mlangon mwenyew natoa na kutupa.

Swez hicho kitu na sitokaa nifanye, natumia uwezo wangu binafsi, ila wapo makonk had michoro wanaingia nayo mweeeeh,
Halafu maexpert huwa hawakamatwi.
Wenzangu na mimi sasa tunaojaribu .

Najikuta narudi Uyole kulima viazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubuyuuuuuh pambeeeeeeeh,
Boss na wake zake,

RIP binamu warumi, leo mambo wazi wazi. Weuweeeeeeeh
JamiiForums-334482415.jpg
 
Halafu maexpert huwa hawakamatwi.
Wenzangu na mimi sasa tunaojaribu .

Najikuta narudi Uyole kulima viazi

Sent using Jamii Forums mobile app
cc usnchekeshe, nmekmbka o kevel kna mtu alkua anaingia na karatas yaan anakua free kabsa na hakamatwi,

Pepa la 4m 4 national, katembeza karatas mitihan yote katok na 1 ya 16,akaenda zake advance, now yko SUA, sjui km kaacha hii tabia,
 
Back
Top Bottom