Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

8CA2D274-CB35-4F43-BA11-5D5D4B9AA2D9.jpeg
 
Kama ni muhimu basi inabidi kufuata njia nyoofu kuipata.
Ingekuwa rahisi kuipata basi kila mtu angekuwa nayo,na ili uipate ni lazima ukubali kusoma.

Na ili upate uthibitisho(cheti) kwamba umeipata basi ni lazima kupitia mitihani.
Kama mtu hataki mitihani basi asome tu na asifanye mtihani maana anachokitaka ni elimu ..ila hatakuwa na vyeti.

Sent using Jamii Forums mobile app
punguza moto cc,
 

Usinichekeshe... kuna story moja ya kichekesho inakuhusu sana...

Kuna jamaa alikuwa anaumwa sana halafu ilikua ni village, sasa kufika night homa ikazidi ikabidi majirani wampeleke hospital huo usiku yapata saa 8, basi wakachukua kama kigunia flani wakatengeneza kama machela za kubebea wagonjwa, safari ikaanza pori kwa pori, njia kwa njia kuitafuta zahanati kuokoa roho ya mgonjwa mahututi.

Ebwanaeehh kufika mbele, si wakaona simba!!! Yupo pembezoni mwa njia halafu anawacheki tu, wale wabebaji wakaona ili kunusurika ni bora tumtoe huyu mgonjwa sadaka, simba ana njaa hatari anapiga mihayo tu.

Wakaona wasipo mtoa sadaka, simba atawakamata mmoja wao, wakahesabu 1, 2, 3 fyuuuu!!! Wakamrushia mgonjwa kule simba aliko halafu wakatoka nduki hatari...

Basi walikimbia vibaya sana, wakafika nyumbani wamechoka balaa, kuangalia mlangoni mgonjwa waliyemtupa ameketi mlangoni anakunywa na uji amefika kitaaambo... anawauliza mbona mmechelewa hivyo?

Kumbe jamaa kwa uoga wa kuliwa na simba aliporushiwa alimkwepa simba akapata nguvu, akakimbia akawapita wale wazima wote

Nahisi wewe ndio yule mgonjwa..

Nb: not true story
mbavu zangu mie, woiiiiiih
 
mweeeh kale kanyoka kalinitisha yaani nilikuwa jikoni nasonga ugali,nimetoka kidogo narudi nakaona kanajizungusha jikoniniliruka nikaacha ugali jikoni,nikajikuta nipo nje yaani najiulizaga zile ngazi nilizirukaje sipat jawabu

Huo usiku sikulala humo,nilihama mazima
 
Back
Top Bottom