donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
Mkono wenye shombo haumfukuzi paka
Njoo uifuateNikope jero mkuu
Kaka mwenye uchebe wake mjini 😊Ewaaaaa! Jamani!!!
Ni huyu babu au kuna mjukuu amempokonya simu 😂Kisiwani wanasema Mashallah Mashallah ...
Kuna vitu vitatu nimeona yakheeeeee.
😂😂 tulikuwa wote wakati wa utumiaji wa kitu.Sure si akili zenu kuna kitu mmetumia![]()
Kuna kitu nimeona Depal, naomba niwe mgeni wako...uncle hana "mazara"!!Kaka mwenye uchebe wake mjini![]()
Umeona nini? Au huo m'skirt wa marindaKuna kitu nimeona Depal, naomba niwe mgeni wako...uncle hana "mazara"!!
"Huo m'skirt" wa marinda umeficha mambo mazuri..Umeona nini? Au huo m'skirt wa marinda
Acha ulevi.Drost white naona ni kali sana kuliko red.
Nikishaacha?Acha ulevi.
Nitakuwowa.Nikishaacha?
Huko kuniwowa mbona kutashindikana 😀😀Nitakuwowa.
Duh haya bana. Kila mtu ana vipaumbele vyake kama wine ni muhimu sana basi.Huko kuniwowa mbona kutashindikana 😀😀
Naanzia wapi kuacha kabisa kabisa kunywa wine.
Chalii akee 😘😘😘Duh haya bana. Kila mtu ana vipaumbele vyake kama wine ni muhimu sana basi.
Sema nnachowapendea they ain't bark, they growlYes, home zaidi yangu na mshua wote wengine wanaogopa hata kusogea bandani![]()
NichaneChalii akee 😘😘😘

"