Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Unadhani makusudi basi; wengine sio photogenic. Upige picha 30, ndiyo upate moja nzuri ya kupost; basi tunajifanya picha sio hobby yetu. Wahitaji wengi wa wapi tena jamani?

Shusha hiyo shauku yako, ili usijekuwa disappointed sana[emoji53][emoji53]
Lete picha acha siasa sis darling! Najua hupendi siasa...Ila hapa unaleta siasa[emoji1787][emoji1787]
 
Wa kienyeji haswaa , Kijijini raha sana

IMG_20211107_184501_1.jpg
 
Back
Top Bottom