Aelknes
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 249
- 624
Samaki samaki ya wapiMarehemu alikuwa na mdomo sanaulisikia wapi pole za mpira zikatoka moyoni??
Anyway karibu samaki samaki hapa![]()
Ya mcity au ya morogoro??

Samaki samaki ya wapiMarehemu alikuwa na mdomo sanaulisikia wapi pole za mpira zikatoka moyoni??
Anyway karibu samaki samaki hapa![]()

Hii nyimbo unaidedicate??Kaliboost liwe saa sita, amevua tu pwa (pwaah)
Eti mimi sijawahi mbona nimeweka tu pwa (pwaah)
Nimepaka vumbi alikasusu sekunde ya tano tu pwa (pwaah)
Msione nnalewa nimeachika yani nimetupwa (pwaah)
Jamani![]()
😅😅😅 hii ni nyimbo??Kaliboost liwe saa sita, amevua tu pwa (pwaah)
Eti mimi sijawahi mbona nimeweka tu pwa (pwaah)
Nimepaka vumbi alikasusu sekunde ya tano tu pwa (pwaah)
Msione nnalewa nimeachika yani nimetupwa (pwaah)
Jamani 🤣🤣🤣
Kaliboost liwe saa sita, amevua tu pwa (pwaah)
Eti mimi sijawahi mbona nimeweka tu pwa (pwaah)
Nimepaka vumbi alikasusu sekunde ya tano tu pwa (pwaah)
Msione nnalewa nimeachika yani nimetupwa (pwaah)
Jamani![]()

Me naimba tu.Hii nyimbo unaidedicate??
Shoshoo ndio wasanii wetu hao wa bongo fleva😅😅😅 hii ni nyimbo??
Ila una sauti nzuriiii aiseeMe naimba tu.

Hahaa kazi ipo hapoShoshoo ndio wasanii wetu hao wa bongo fleva
Whozu 😋😋Hivi vina nimevipenda, nani kaimba?
Huyo kijana ana nyimbo zake za mizaha ila ni nzur ukiziskiliza full burudani😍Whozu 😋😋
Huyo kijana ana nyimbo zake za mizaha ila ni nzur ukiziskiliza full burudani😍
Sherph man, right? Got my two rottweilers, they royal AFMeet my old best friend,, he's loyal,, he's always excited,, he cares,, he's fun,, he's great,, he's MY BEST FRIENDView attachment 2001039

Chomoa moja mkuu
Mimi sijashika tena aisee
Naona mwenye nazo ameshazichange.
Hivi current exchange rate ni ngapi ya dola kwa tzs?
Sent using Jamii Forums mobile app
Drost white naona ni kali sana kuliko red.