Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dawa ya kopo

Steaming......Nilifanyiaga mara moja tu kwa majani ya maperanywele zilinywea balaa vilikuwa vidogo

Tokea hapo sijawahi kufanyia tena,natumia tu mafuta ya nazi ya maji,hivyo nikitumia Mafuta ya mgando kwaajili ya nywele huwa zinakatika Sana.

Una nywele nzuri asilia hazihitaji mambo mengi .
Steaming ya bamia ni nzuri pia siku ukipenda
 
FB_IMG_1635677882821.jpg
 
Back
Top Bottom