Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,182
- 35,313
Kwako studio[emoji23]Asante [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwako studio[emoji23]Asante [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Njoo tuchome Kuku Anne😋
Nitamleta though bado hujanipa Location. Niambie nimlete wapi umpendezeshe arudie Umwali wake?😜[emoji2] mbona utamfurahia ukimuona. We mlete, hakunaga mkate mgumu mbele ya chai.....
Nifanye niwe begi lako, tuwe tunaenda kokote unapokwenda 🙊🏃🏻🏃🏻View attachment 1992150
Mizuruloo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nao wi a toking [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Nifanye niwe begi lako, tuwe tunaenda kokote unapokwenda [emoji87][emoji1322][emoji1322]
Bahati iliyoje hii, naomba mwanasheria atuandikie Mkataba wa kutuunganisha please.Mimi mwenyewe nataka niwe begi la mtu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi kufuga ni mtihani kwa kweli, bora kubandika tu. Natural zikiwa ndefu kbs, wanazitengeneza vzr tu.
Utahangaika sana ila kwangu utabakia kuwa Makiseo tu hata ufanyeje [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099]Huyo si ndiyo yule alikuwepo Mwanzo..amenyoa.. Anaitwa B[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Utahangaika sana ila kwangu utabakia kuwa Makiseo tu hata ufanyeje [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1992261
Na si ajabu wanafanana fanana hivi hivi [emoji91][emoji91][emoji91]Hii avatar yake ilitisha sana…
Toa huo msaa watazamaji tuangalie kama gonjwa zetu zipo 😂
Toa huo msaa watazamaji tuangalie kama gonjwa zetu zipo [emoji23]
Na si ajabu wanafanana fanana hivi hivi [emoji91][emoji91][emoji91]