Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,874
- 147,334
Kuna mdada kafunguliwa Uzi,katumiwa nauli kuja dar kumbe nu wakawaida yaan havutii
Kuna mdada kafunguliwa Uzi,katumiwa nauli kuja dar kumbe nu wakawaida yaan havutii
Yas[emoji23][emoji23]
Yaani.
Ila ina function haraka sana kuliko hata ya vidonge
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama yangu ndiye anisukae[emoji7],Hizi mbili kichwa aliyekusuka amekupatia .
Vizuri sana , anajua kusuka ..Mama yangu ndio anisukae[emoji7],
Nashukuru,anasuka Sana aina zote anasuka vile tu me ni mvivu kusuka,Vizuri sana , anajua kusuka ..
wengine tukienda kusuka nywele za mkono unasukwa vibaya ,kesho yake tu unafumua .
Pia una nywele nzuri zinasaidia maana unazibana unavyotaka .Nashukuru,anasuka Sana aina zote anasuka vile tu me ni mvivu kusuka,
Mtu anakusuka ukilala,ukiamka zimefumuka,huwa hawakaziVizuri sana , anajua kusuka ..
wengine tukienda kusuka nywele za mkono unasukwa vibaya ,kesho yake tu unafumua .
Ee nilizinyoaga[emoji16],niliziaribu watu walinishawishi niweke dawa ziwe ndefu hadi mgongoni[emoji1787]...yaani nywele ziliharibika balaa sitorudia kosaPia una nywele nzuri zinasaidia maana unazibana unavyotaka .
Bora umejua hilo , dawa haifai kwa nywele kama hiyo ..Ee nilizinyoaga[emoji16],niliziaribu watu walinishawishi niweke dawa ziwe ndefu hadi mgongoni[emoji1787]...yaani nywele ziliharibika balaa sitorudia kosa
Sitorudia kosa,,,,yaani hivi zilivyo nilishazipunguzaga mara moja,maana zilikuwa ndefu,wasusi walikuwa hawaziwezi kusukaBora umejua hilo , dawa haifai kwa nywele kama hiyo ..
Ulitumia dawa ya kopo au box ?Sitorudia kosa,,,,yaani hivi zilivyo nilishazipunguzaga mara moja,maana zilikuwa ndefu,wasusi walikuwa hawaziwezi kusuka
Dawa ya kopoUlitumia dawa ya kopo au box ?
Huwa unazifanyia Natural steaming ??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alooo me kuna mpuuzi m1 ningehakikishiwa kwa asilimia zote hakiii nilikuwa nalala nae mbele. Sema tu yule binti alijifanya haoni ile PM mpaka nilipopoa.
Nilisikia eti wana group sijui ka mtandao wakiitaka ni hawaikosi afu at the end wanatafuta mtu wa kumtupia msala kujiswafi.
Shenzi zao.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu mimi sijui hata ujasiri wa kunyoa naupataga wapi na hili bichwa langu dah!
Mama kesho nakutafuta nipate Mafuta mazuri[emoji7],,,,kuna ambayo nilitafuta naona yameisha...somehow yamenisaidia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vutunguu sijui nitasuka lini tena,
Nadhani hadi Yesu ashuke.
Spray ninayo,
Huwa napuliza kipilipili changu nikishakichana.
Kinang'aa kama sio kipilipili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah pole yake wengine huwa wanakanda na maji ya moto huwa inasaidia kupunguza maumivu na kunywa Panadol pia .
Na propose sasa.
😂 UtakubaliiiiiNitamleta though bado hujanipa Location. Niambie nimlete wapi umpendezeshe arudie Umwali wake?😜
Yeboooo 🧚♀️🧚♀️🧚♀️👊🏿👊🏿👊🏿Na propose sasa.