Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Huwa naelewa labda nifanye makusudi.Jitahidi. Anza kujizoesha. Mimi kuna siku nakula dinner saa 12 jioni 😂
📌📌📌📌📌📌 wanasingiziaga urembo wa asili kumbe hawataki kutoa fweza ya wigi😆😆😆😆😆jamaniNikanyoe sasa nipate mume
Nimesuka Leo.
Naona kichwa kiziiito.
Sijui kama nitatoboa nazo wiki na hili fukuto la joto
Sent using Jamii Forums mobile app
OhKutia dawa au kusuka kwangu sio problem. Shida itakuja pale unaanza kuvaa wigs![]()
Mimi njaa ikiniuma nalegea hadi tumbo linaanza kuuma.Wala haufi njaa. Ujue njaa ni deception sometimes? Kuna muda unaweza kuhisi unahisi njaa kumbe sio ila wewe hujui unaongeza tu calories
Nasubiri picha ifunguke

Hivi kumbe ninatako ee😁😁safi.Hivohivo na tako na hips lako.
Yaani roho inamuuma mwingine mimi kunyoaYani uandamwe usuke!hapana kwakweli..nsimamo hapo umetetereka
![]()






Kumbe Jf kuna pisii za maana kabisaa


🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna mnaa mmoja alisambaza picha zangu Kwenye groups zao huko
Sijui aliingiza shilingi ngapi![]()
Sema kwangu kusuka ,kunyoa yote ni sawa tu.Inabidi uwe na msimamo. Usiyumbishwe na mtu pale unapotaka kufanya kile unachoona wewe kuwa ni sahihi.
Hahaha umenikumbusha kitu , wakati nasoma chuo nilikuwa mvaa mawigi sana ,Oh
Mimi na wigi ni maji na mafuta.
Yaani nina phobia na wigi,,ni heri nifunge kitambaa kuliko kuvaa wigi kichwani.
Sent using Jamii Forums mobile app
.Ntapita wapi na hichi kichwa?
Wengine tuna sura za baba mawigi angalau yanaturudisha kwenye ramani







,,,,kuna ambayo nilitafuta naona yameisha...somehow yamenisaidia.Wewe propose tu boss wangu.Siwezi kum-force bana yeye mwenyewe tu anipe greenlight then tuyajenge.
Mbona utawaa🤣🤣
Friji hazigandishi 🤣🤣🤣🤣🤣Siku hizi wanaume kama mabinti
Yaani mafriji hayagandishi
Mi mtu akinisema fresh tu kama anajiweza anipe hela nikafanye sajari uturuki
Nilishaiona na nikaijibu.Hivi umeona hole comment ya Jack Palladino kuwa nifute Shem darling ibaki darling...
Na hivi uko dasalama🤣🤣🤣🤣Nimesuka Leo.
Naona kichwa kiziiito.
Sijui kama nitatoboa nazo wiki na hili fukuto la joto
Sent using Jamii Forums mobile app