Aaahhh 😟🤣🤣🤣 relax. We're all dying..
Weka miguuIt's ain't safe
I'll tryWeka miguu
Nilisoma sehemu kwamba psychologist wanaweza tumia picha kufahamu personality yako, kuna picha wanaweka inakuwa confusing then unaulizwa unaona nini?

kajificha...Hakuna sehemu nimekataa, that's why nikasema mwanamke kumuuliza mwanaume kuhusu suala zima la financial status kabla ya mahusiano it's owkay, nimezungumzia hili suala zaidi ya mara moja.Wanaume wengi wamekuwa wavivu na wanakwepa majukumu yao! Unajua mwanamke atakayedemand mahitaji yanayohitaji matumizi makubwa itambidi mwanaume atumie nguvu nyingi kutafuta ili atimize hayo mahitaji!
Sasa mwanaume mvivu lazima akwepe mwanamke wa aina hii maana hataki kujituma sana. Nawapenda sana wale wanaume wachache wanaosema mimi nataka mwanamke anayependa pesa maana ananifanya nipate akili na nguvu za kutafuta zaidi.
Sasa dunia hii mwanaume asipotafuta pesa anataka afanye nini tena maana hakuna jukumu lingine walilopewa zaidi ya hilo tu ila cha ajabu nalo wanaliona gumu! Sisi tunaobeba mimba, tunaozaa, tunaonyonyesha, tunaolea, na bado tunafanya kazi za nyumbani na siku hizi maisha yamebadilika hata kutafuta pesa tunawasaidia pia na hatulalamiki!
Ila wao kutafuta pesa na kuhudumia wake zao tu mtu anaona kama anafanya hisani au msaada tu wakati ni jukumu lake. Nashindwa kuelewa au wenzetu wanataka wawe wanakaa tu nyumbani ili sasa kila kitu afanye mwanamke.
Usichukulie huu mjadala personal, hi issue ilianza jana kati yangu mimi na yule dada anaitwa sawima I think, Ali reply nikamjibu..
Usichukulie huu mjadala personal, hi issue ilianza jana kati yangu mimi na yule dada anaitwa sawima I think, Ali reply nikamjibu..
Sasa nashangaa unachukulia issue very personal yaani utasema jf nzima ulikuwa unajadiliwa wewe, ambae tulianza nae mjadala alinielewa, ila sasa ndugu yangu unaanza na kutusi watu..
Wewe si wa kuita mtu masikini, yaani hujafika hio level kabisa, una miaka kama 20 mbeleni ya kujituma sana ndipo uite mtu masikini.. na hapo ni probability..
1st of all hufahamu status za watu humu, hufahamu vingi tu, hata hao wanaume unaosema umasikini unasabisha waamini upendo unapatikana kwenye shida akiwemo my bro wapo sahihi na si masikini..
Sasa we tajiri una rolls Royce kwako?
Una mshahara more than 5m/month?
Unamiliki company?
Una Private jet?
Una bilioni ngapi bank?
Acha ujinga wako kuita watu majina hawastahili..
wealthy individuals kama akina Billgate are sharing their money and resources with the poor.. hawana hizo issue za kujimwambafy, personality yako inajidhihirisha...Huu mwaka toka umeanza umetoa sadaka kwenye vituo vya kulea watoto vingapi Mrs Billionaire..?
Kaa ujue poor people are not stupid, they're not criminals, they are human being.. utofauti wamekosa tu kazi na kipato kizuri Mrs billionaire
Unapo mpa mtu sifa si yake ni kumtusi, ni sawa na mwanaume aitwe mwanamke au mwanamke aitwe mwanaume...
Kwenye akili yako kuhusu huu mjadala kuna unachoona ni right na upo sahihi na kuna unachoona ni wrong hayupo sahihi, dharau zako ni kumuweka mtu ambae yupo against na wewe kwamba yupo wrong(which is right) na sababu ya yeye kuwa wrong ni umasikini(dharau)..
1- Umedharau masikini
2-Umetusi/Kutoa sifa haistahili kwa muhusika.
Utakachonijibu sintokujibu kwa sababu uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo..
Jiangalie sana siku ukipata pesa usije temea watu mate..,
![]()
G'night..
Yes mkuu!!Mkuu...
Wanawake wa hivi naomba kurunzi la watts 2000 niwatafuteNimegundua kinachowaponza wanaume wengi ni kukariri maisha! Kwamba hakuna mwanamke anayeweza kuvumilia shida kwa muda mrefu!
Kuna jamaa alifanya huo huo mchezo kama wa bro wako! Anatafuta mwanamke wa kuoa akashauriana na washikaji zake kwamba akipata mchumba afiche mali zake zote ajifanye masikini ili ampime!
Kweli alipata mchumba yule dada alikuwa na maisha ya kawaida tu muajiriwa ana kamshahara kake ka kawaida tu kapanga vyumba viwili maisha yanasonga. Jamaa alikuwa na majumba na magari mengine ya urithi.
Basi wakaanza mahusiano dada siku zote anajua mpenzi wake ni masikini anafanya kazi za saidia fundi anaishi kwenye kaghetto tu. Ila alimpenda na alimheshimu hivyo hivyo na siku zote alikuwa willing kumsaidia na hakuwahi lalamika.
Imepita miezi sita jamaa na washikaji zake wameshajiridhisha wakakubaliana kwamba hapa sasa mke kapatikana. Cha msingi amuambie ukweli wote na nia yake ya kufanya vile kisha ampropose amvishe pete na mchakato wa ndoa uanze.
Kweli wakapanga mfanyia surprise siku ya siku wameandaa bonge la party kwa ajili ya proposal tu tumia gharama nyingi sana ita ndugu na jamaa kama wote. Mdada kufika pale anaona hali haielewielewi ghafla anamuona bwana wake kavaa kidon don halafu mambo ya kifahari kama yote nini.
Jamaa kabla ya zoezi la kuvisha pete ikabidi aanze kujielezea kwanza kuwa oo sijui unajua mimi siko kama nilivyojitambulisha kwako nilifanya vile ili sijui nipate mke mwenye mapenzi ya kweli blah blah kikaenda kikarudi kikapanda kikashuka. Wakajua mchumba atafurahia na mapenzi ndiyo yataongezeka maradufu.
Cha ajabu walishangaa yule dada alichukia na bila kujibu kitu pale pale akaondoka watu wanashangaa kulikoni ikabidi waanze kumfukuzia wakamkosa na sherehe ikaishia hapo. Baadaye jamaa kumtafuta kwenye simu akaomba wakutane amueleze kwanini alifanya vile dada akaanza kufunguka.
Oo unajua mimi maishani mwangu sikuwahi tamani kuwa na mwanaume mwenye pesa hasa ambaye nimemkuta nazo kwa sababu wanaume wenye pesa huwa hawana mapenzi ya kweli. Wengi wahuni na wanamchukulia mwanamke kama chombo cha starehe tu na hata wakioa wanaoa kama geresha tu ila huko nje kuna kuwa na msururu wa wanawake na wote kawazalisha.
Akamuambia mimi nilikupenda sababu ya umasikini wako na nilidhani wewe ni masikini kweli na nilikuwa tayari mimi na wewe tuanze wote from the scratch. Ili mwisho wa siku usije ukaanza kunidharau na kusema kwamba sina msaada kwako maana nimekukuta una kila kitu.
Basi ndiyo mapenzi yakawa yameishia hapo na yule dada alikuwa serious kabisa jamaa hakuamini. Halafu ukicheck jamaa alikuwa kafa kaoza maana alikuwa ashahitimisha zoezi la kutafuta mke akijua sasa hapo kinachosubiriwa ni ndoa tu kwa wakati huo hakuna mwanamke aliyekuwa anampenda kama huyo japo alikuwa na vimichepuko kama vyote.
Lakini vile vimichepuko vilikuwa ni vya kupiga na kusepa tu maana alishajua vimempendea pesa zake ila huyu mama la mama ndiye alikuwa kwenye plans zake sema ndiyo hivyo tena. Basi jamaa jitetea jitetea na wewe omba msamaha sana ila wapi ndiyo ikawa imeisha hiyo hadi leo anaumia na hajaoa.
Kwahiyo msikariri kwamba wanawake wote wanapenda wanaume wenye pesa tu wengine wanahitaji mapenzi ya kweli tu pesa mtatafuta wote. Maana wanawake wengi tunajua kuwa pesa na mapenzi ya kweli havishabihiani hivyo kuna wataochagua mapenzi ya kweli na kuna wale wenzangu na mimi waliokunywa uji wa wagonjwa wao ni pesa 'mbere' mapenzi ya kweli bakini nayo watayapata mbinguni kwa baba.
Ila dunia hii yaani hata mimi nilipigwa na butwaa kiukweli nilidhani nimeshasikia yote hadi nilipokuja kusimuliwa hicho kisa na aliyenisimulia ni rafiki yangu ambaye aliujua mchezo mzima na alikuwepo kwenye hiyo party ni ndugu wa huyo jamaa! Ila daah siku hizi mapenzi hakuna aisee hata hao wanaume masikini wenyewe nao wana misururu traffic anasubiri acheni tu wanawake waangalie mifuko jamani maana hayo mapenzi ya kweli hayako tena kila mtu msaliti!

Naona umepanic mkuu.Usichukulie huu mjadala personal, hi issue ilianza jana kati yangu mimi na yule dada anaitwa sawima I think, Ali reply nikamjibu..
Sasa nashangaa unachukulia issue very personal yaani utasema jf nzima ulikuwa unajadiliwa wewe, ambae tulianza nae mjadala alinielewa, ila sasa ndugu yangu unaanza na kutusi watu..
Wewe si wa kuita mtu masikini, yaani hujafika hio level kabisa, una miaka kama 20 mbeleni ya kujituma sana ndipo uite mtu masikini.. na hapo ni probability..
1st of all hufahamu status za watu humu, hufahamu vingi tu, hata hao wanaume unaosema umasikini unasabisha waamini upendo unapatikana kwenye shida akiwemo my bro wapo sahihi na si masikini..
Sasa we tajiri una rolls Royce kwako?
Una mshahara more than 5m/month?
Unamiliki company?
Una Private jet?
Una bilioni ngapi bank?
Acha ujinga wako kuita watu majina hawastahili..
wealthy individuals kama akina Billgate are sharing their money and resources with the poor.. hawana hizo issue za kujimwambafy, personality yako inajidhihirisha...Huu mwaka toka umeanza umetoa sadaka kwenye vituo vya kulea watoto vingapi Mrs Billionaire..?
Kaa ujue poor people are not stupid, they're not criminals, they are human being.. utofauti wamekosa tu kazi na kipato kizuri Mrs billionaire
Unapo mpa mtu sifa si yake ni kumtusi, ni sawa na mwanaume aitwe mwanamke au mwanamke aitwe mwanaume...
Kwenye akili yako kuhusu huu mjadala kuna unachoona ni right na upo sahihi na kuna unachoona ni wrong hayupo sahihi, dharau zako ni kumuweka mtu ambae yupo against na wewe kwamba yupo wrong(which is right) na sababu ya yeye kuwa wrong ni umasikini(dharau)..
1- Umedharau masikini
2-Umetusi/Kutoa sifa haistahili kwa muhusika.
Utakachonijibu sintokujibu kwa sababu uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo..
Jiangalie sana siku ukipata pesa usije temea watu mate..,
![]()
G'night..
,na usinipigie ramli za kuja temea watu mate... Sina ndoto hizo hata nikifika huko.Wanawake tutafika peponi tukiwa hoiWanaume wengi wamekuwa wavivu na wanakwepa majukumu yao! Unajua mwanamke atakayedemand mahitaji yanayohitaji matumizi makubwa itambidi mwanaume atumie nguvu nyingi kutafuta ili atimize hayo mahitaji!
Sasa mwanaume mvivu lazima akwepe mwanamke wa aina hii maana hataki kujituma sana. Nawapenda sana wale wanaume wachache wanaosema mimi nataka mwanamke anayependa pesa maana ananifanya nipate akili na nguvu za kutafuta zaidi.
Sasa dunia hii mwanaume asipotafuta pesa anataka afanye nini tena maana hakuna jukumu lingine walilopewa zaidi ya hilo tu ila cha ajabu nalo wanaliona gumu! Sisi tunaobeba mimba, tunaozaa, tunaonyonyesha, tunaolea, na bado tunafanya kazi za nyumbani na siku hizi maisha yamebadilika hata kutafuta pesa tunawasaidia pia na hatulalamiki!
Ila wao kutafuta pesa na kuhudumia wake zao tu mtu anaona kama anafanya hisani au msaada tu wakati ni jukumu lake. Nashindwa kuelewa au wenzetu wanataka wawe wanakaa tu nyumbani ili sasa kila kitu afanye mwanamke.

Ingekuwa hivyo basi wasingekuwa wanaoa.Haha kumbe ulikuwa haujui! Nenda kule mmu kwenye mada za ndoa uone wanavyodanganyana ati ndoa ni heshima kwa mwanamke inamheshimisha mwanamke tu siyo mwanaume!
Na wengine wanaenda mbali zaidi na kusema ati ndoa ni utumwa kwa mwanaume ila ni neema kwa mwanamke! Ila ukiangalia uhalisia nje ya mitandao unabaki kusikitika tu!
Oh sawaUsishangae siyo za kuvuta ni za biashara kwenye kiosk changu.
I think zilikuwa emoji zako....corrupted 🙃Hiyo imefunguka! Zile nyingine zilikuwa nini?