Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,531
- 81,259
Sure self control is key here.Ila kweli wanaume smart wengi ndiyo huwa na hulka hizi. Ukiona mwanaume anataka kufunua kila sketi jua kichwa chake cha juu kina hitilafu kubwa mno.
Sure self control is key here.Ila kweli wanaume smart wengi ndiyo huwa na hulka hizi. Ukiona mwanaume anataka kufunua kila sketi jua kichwa chake cha juu kina hitilafu kubwa mno.
Wenye vitambi mnatufokea![]()
Kuna njia siku iz imekuja. Unakipoteza kbsSorry miss,, hapo ni ghetto?
Sorry miss,, hapo ni ghetto?
No ma'am,, nna ubongo primitive kama wa shark nmeshindwa interpret picha nlichoweza kuona ni precioso lower extremitySorry Mr, umeona nini? Sufuria au!
🤣 'precioso hii hii ninayoijua?No ma'am,, nna ubongo primitive kama wa shark nmeshindwa interpret picha nlichoweza kuona ni precioso lower extremity
What's the nutritional value of what you consuming?
Mwe ni nini hizo dear Mbona zinanigomea kufunguka
Naomba hiyo namba ya simu na Mimi niwe najionea status adimu
Yes ma'am hyo hyo unaoijua ww,, but beware usiwe chanzo cha ajali,, 37% of crashes znatokana na distractions,, 2000+ deaths and 400k casualties world wide'precioso hii hii ninayoijua?
Nimekaa back seat miguu nimenyooshea kwa driver seat.
🤣🤣🤣 relax. We're all dying..What's the nutritional value of what you consuming?
Got you, thanks for your concern.Yes ma'am hyo hyo unaoijua ww,, but beware usiwe chanzo cha ajali,, 37% of crashes znatokana na distractions,, 2000+ deaths and 400k casualties world wide






Hiyo imefunguka! Zile nyingine zilikuwa nini?
Miss tuna zile sura ambazo kwa basi mtt ndo anatishiwa "nyonya au ntamwambia anko akumeze" mtt akikuangalia mara moja anaona hapana huyu uncle ni direct proportional na kauli ya mama ,,, mtoto anaanza kunyonya bila ubishiGot you, thanks for your concern.
Tupia kaselfie basi...



Hebu nihakikishe..Miss tuna zile sura ambazo kwa basi mtt ndo anatishiwa "nyonya au ntamwambia anko akumeze" mtt akikuangalia mara moja anaona hapana huyu uncle ni direct proportional na kauli ya mama ,,, mtoto anaanza kunyonya bila ubishi
Tunaendeleza family traditionsView attachment 1988889
It's ain't safeHebu nihakikishe..