Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mbona ni kama mabaya yote umeyasokomezea kwa wanawake kana kwamba wanaume ni innocent? Kwahiyo unataka kusema kwamba wanaume ndiyo wana mapenzi ya kweli na kwamba wao hawademand vitu vingi toka kwa wanawake?
😊
Nimezungumzia side yangu kama mwanaume ..

Mwanamke pia atazungumza kuhusu mwanaume kama jinsi anavyowaona.

Wakati mwingine inaweza kuwa sio sahihi kujizungumzia cause utajipa sifa na kuvutia kwako..

That's why nimeacha blank kwa wanaume na nyie wanawake mzungumze kuhusu mwanaume..😊

Nakubali sana hoja zako, and wote hatujakamilika..
🙏
 
Hahahhaa nitakuja na mimi kumpa maazimio kabisa, asije akanizaa

Uanze kwanza kwa kumpa maagizo P, asijekuwaingiza watu mjini.
IMG_20211027_191335_266.jpg

Mie ndio tumemaliza kikao cha dharura na mkono.
 
Mbona ni kama mabaya yote umeyasokomezea kwa wanawake kana kwamba wanaume ni innocent? Kwahiyo unataka kusema kwamba wanaume ndiyo wana mapenzi ya kweli na kwamba wao hawademand vitu vingi toka kwa wanawake?
Kwanza wamewapanga wasichana utadhani DJ anavyopanga ngoma za kupiga club(kwa sauti ya Chakorii )
Halafu bado hapohapo Eti wanatupima !
Wanachopima Sasa ndio kinachosha ziaidi..eti wanapima kuvumilia shida.


Yaani umasikini unafanya Watu waone kuvumilia shida ni sifa na ndio mapenzi.!
Wanawake wanaovumilia shida na kupimwa kama mchele mwee Wana kazi ngumu duniani!
Kazi ya kuutafuta ufalme wa Mbingunii,na kazi ya kuvumilia vipimo vya shida vya Watu..aloo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom