Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20211028_074149.jpg
 
Usichukulie huu mjadala personal, hi issue ilianza jana kati yangu mimi na yule dada anaitwa sawima I think, Ali reply nikamjibu..

Sasa nashangaa unachukulia issue very personal yaani utasema jf nzima ulikuwa unajadiliwa wewe, ambae tulianza nae mjadala alinielewa, ila sasa ndugu yangu unaanza na kutusi watu..

Wewe si wa kuita mtu masikini, yaani hujafika hio level kabisa😂, una miaka kama 20 mbeleni ya kujituma sana ndipo uite mtu masikini.. na hapo ni probability..

1st of all hufahamu status za watu humu, hufahamu vingi tu, hata hao wanaume unaosema umasikini unasabisha waamini upendo unapatikana kwenye shida akiwemo my bro wapo sahihi na si masikini..

Sasa we tajiri una rolls Royce kwako?
Una mshahara more than 5m/month?
Unamiliki company?
Una Private jet?
Una bilioni ngapi bank?

Acha ujinga wako kuita watu majina hawastahili..

wealthy individuals kama akina Billgate are sharing their money and resources with the poor.. hawana hizo issue za kujimwambafy, personality yako inajidhihirisha... 😊😊 Huu mwaka toka umeanza umetoa sadaka kwenye vituo vya kulea watoto vingapi Mrs Billionaire..?

Kaa ujue poor people are not stupid, they're not criminals, they are human being.. utofauti wamekosa tu kazi na kipato kizuri Mrs billionaire 😂😁

Unapo mpa mtu sifa si yake ni kumtusi, ni sawa na mwanaume aitwe mwanamke au mwanamke aitwe mwanaume...

Kwenye akili yako kuhusu huu mjadala kuna unachoona ni right na upo sahihi na kuna unachoona ni wrong hayupo sahihi, dharau zako ni kumuweka mtu ambae yupo against na wewe kwamba yupo wrong(which is right) na sababu ya yeye kuwa wrong ni umasikini(dharau)..

1- Umedharau masikini
2-Umetusi/Kutoa sifa haistahili kwa muhusika.

Utakachonijibu sintokujibu kwa sababu uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo..

Jiangalie sana siku ukipata pesa usije temea watu mate😂😂..,🤟🤟🤟

G'night..
Boss!! nadhani hapa ume overdo😂😂🙌
 
Hakuna sehemu nimekataa, that's why nikasema mwanamke kumuuliza mwanaume kuhusu suala zima la financial status kabla ya mahusiano it's owkay, nimezungumzia hili suala zaidi ya mara moja.

Mwanamke anayekupa taarifa mwanzoni yupo fresh tu, hana shida, nilichozungumzia ni wanawake waigizaji.. kila kitu kwenye mahusiano lazima kiwe real.

Issue za uvivu ni mambo yako binafsi unataka kuyaweka and sipendi tufike huko, hii issue usichukulie personal ni mjadala wa kawaida tu, unless hujazoea.

Mimi najituma, sina uvivu..

Sikujua kama issue itakuwa sensitive kiasi hiki na sikusoma hizi cmmnt kwa umakini..

Thanks
Mkuu kwanini unaona kama im taking this personal? Wewe mbona nilishakuambia nimezikubali hoja zako?

Wewe ni mgeni JF? Umeshawahi kutembelea jukwaa la MMU na kusoma mada zinazohusu mahusiano au ndoa?
 
Mkuu kwanini unaona kama im taking this personal? Wewe mbona nilishakuambia nimezikubali hoja zako?.

Wewe ni mgeni JF? Umeshawahi kutembelea jukwaa la MMU na kusoma mada zinazohusu mahusiano au ndoa?

Mimi nimetajiwa Hadi akina billgate na magari sijui ,mara sijui miaka 20,sijui probability , Kwa comment yangu ambayo nilikuquote na sijataja mtu

Watu wamejipachika kwenye comment yangu na kuanza kutiririka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usichukulie huu mjadala personal, hi issue ilianza jana kati yangu mimi na yule dada anaitwa sawima I think, Ali reply nikamjibu..

Sasa nashangaa unachukulia issue very personal yaani utasema jf nzima ulikuwa unajadiliwa wewe, ambae tulianza nae mjadala alinielewa, ila sasa ndugu yangu unaanza na kutusi watu..

Wewe si wa kuita mtu masikini, yaani hujafika hio level kabisa, una miaka kama 20 mbeleni ya kujituma sana ndipo uite mtu masikini.. na hapo ni probability..

1st of all hufahamu status za watu humu, hufahamu vingi tu, hata hao wanaume unaosema umasikini unasabisha waamini upendo unapatikana kwenye shida akiwemo my bro wapo sahihi na si masikini..

Sasa we tajiri una rolls Royce kwako?
Una mshahara more than 5m/month?
Unamiliki company?
Una Private jet?
Una bilioni ngapi bank?

Acha ujinga wako kuita watu majina hawastahili..

wealthy individuals kama akina Billgate are sharing their money and resources with the poor.. hawana hizo issue za kujimwambafy, personality yako inajidhihirisha... Huu mwaka toka umeanza umetoa sadaka kwenye vituo vya kulea watoto vingapi Mrs Billionaire..?

Kaa ujue poor people are not stupid, they're not criminals, they are human being.. utofauti wamekosa tu kazi na kipato kizuri Mrs billionaire

Unapo mpa mtu sifa si yake ni kumtusi, ni sawa na mwanaume aitwe mwanamke au mwanamke aitwe mwanaume...

Kwenye akili yako kuhusu huu mjadala kuna unachoona ni right na upo sahihi na kuna unachoona ni wrong hayupo sahihi, dharau zako ni kumuweka mtu ambae yupo against na wewe kwamba yupo wrong(which is right) na sababu ya yeye kuwa wrong ni umasikini(dharau)..

1- Umedharau masikini
2-Umetusi/Kutoa sifa haistahili kwa muhusika.

Utakachonijibu sintokujibu kwa sababu uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo..

Jiangalie sana siku ukipata pesa usije temea watu mate..,

G'night..
Mkuu actually wewe ndiyo umechukulia hii issue personal and serious yaani hata sisi hatukujua kama ungefika huku! Maana tuliyoyaendeleza mimi na Saint Anne hayakuwa yakikuhusu wewe tena yaani tulishatoka huko kwenye issue ya bro wako!

Hiyo issue ya bro wako binafsi nilishaifunga kabisa pale niliposema wewe nimeshazielewa hoja zako na huna makuu basi! Hayo mengine tuliyoyaendeleza sisi ni mitazamo ya wanaume wengi kwenye jamii zetu hivyo tulikuwa tunaongelea in general!

Kwenye mada kama hizi huwa hatuongelei mtu mmoja mmoja bali tunaongelea jamii kwa ujumla ulipaswa kuelewa hilo! Ndiyo maana nikakuuliza kama wewe ni mgeni JF na huwa unatembelea lile jukwaa la MMU na kusoma mada za kule kuhusu mahusiano au ndoa!

Kwa sababu kama ungekuwa unatembelea lile jukwaa na kusoma wanayoyaandikaga wanaume wenzio kule kuhusiana na hayo mambo ungetuelewa from the beginning! Na wala usingechukulia hii issue personal na kuona kama vile this whole topic is all about you!
 
Ingekuwa hivyo basi wasingekuwa wanaoa.

Niliona kule MMU,wanaona kama ndoa ni zawadi tu kwa mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuachane na haya mama! Naona watu washaanza kuchukulia hii issue personal wakati ni sisi tumeamua tu kuendeleza huu mjadala kivyetu kutokana na uhalisia tunaouona kwenye jamii!
 
Back
Top Bottom