Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,487
Oohh! Daah ila jf app bana!I think zilikuwa emoji zako....corrupted![]()


Hujaniambia sasa nikuiteje! Mimi siwezi chagua maana siwezi jua jina unalopenda wewe!


Oohh! Daah ila jf app bana!I think zilikuwa emoji zako....corrupted![]()




Aah hata vifua navyo havieleweki! Halafu nitakuitia mama ujue!Lakini si wana vifúa vya kutosha dota?![]()




Hahahah...dah! Hem niwache dota!Aah hata vifua navyo havieleweki! Halafu nitakuitia mama ujue!![]()
Tuachane na haya mama! Naona watu washaanza kuchukulia hii issue personal wakati ni sisi tumeamua tu kuendeleza huu mjadala kivyetu kutokana na uhalisia tunaouona kwenye jamii!


😊😊🙏🏾Your skin complexion is on point![]()
Thanks for the tip mpenzi.Usisahau kupita FOGO GAUCHO Lizzy!!!
Kama unapenda nyama...You will thank me later..
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa anapanic vibaya
Mimi nimetajiwa Hadi akina billgate na magari sijui ,mara sijui miaka 20,sijui probability , Kwa comment yangu ambayo nilikuquote na sijataja mtu
Watu wamejipachika kwenye comment yangu na kuanza kutiririka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkiani??
Iliaply zaidi wakati wetu wa ujana, kwa kizazi hiki ni shida
Yaani hadi nikahisi mtu kakosea kuniquote,maana tangu mmeanza mjadala wala sikuconcentrate kwenye comments zake,,nikawa najichatia na shoga yangu Karma maana hizi mada huwa tunajuana,,,duh nashangaa sijui kumiliki magari,sijui majumba,sijui kutemea mate watu yaani nimeamka asubuhi kufungua jf nikahisi nina wenge la usingizi.😂Jamaa anapanic vibaya
Eh nimeshangaa sana
Povu kama lote , kikubwa upo humble sana , umejibu kiustarabu .
Gorgeous skin texture#offthewallView attachment 1989281
Kasema eti umuwacheeeeeeeKwamba na P ni mjasiriamali au muwekezaji?